Kamata LIKES za ODM!!!

Wakulu wangwe na vijukuu kwa mpigo marahaba.

Huyu mazee ODM anataraji kwenda maeneo ambayo laptop hairuhusiwi kufika na ikifika ukiiwasha haiwaki. Ukileta ukaidi ukang'angana kuiwasha screen haidisplay kitu....

Dadadeki ya Lusinde wallah... :smash:

Sasa basi kwa kuwa nawapendeni sana ntakuwa namisi kuwatendeeni haki kwa kale ka-button kangu pendwa ka LIKE. Kale kadude nisipokakong'oli mtima wangu huwa unashuka na mawasiliano kati ya ubongo na baiolojia huwa yanapata itilafu (Nahofia nisijebaka mitetea).

Sasa basi jiungeni nami kutakiana heri na kugongeana maLIKE.

Natumaini mchina wangu hataniangusha. hivyo Chit Chat kama kawaaa!

Hivi leo lini? Ngoja niwahi kaunta ya juu.

Nenda mwana kwenda wasalimie mapapaa wa huko shamba. nenda na Kongosho wengine waachie wenzio.
 
Back
Top Bottom