Kamata LIKES za ODM!!!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Wakulu wangwe na vijukuu kwa mpigo marahaba.

Huyu mazee ODM anataraji kwenda maeneo ambayo laptop hairuhusiwi kufika na ikifika ukiiwasha haiwaki. Ukileta ukaidi ukang'angana kuiwasha screen haidisplay kitu....

Dadadeki ya Lusinde wallah... :smash:

Sasa basi kwa kuwa nawapendeni sana ntakuwa namisi kuwatendeeni haki kwa kale ka-button kangu pendwa ka LIKE. Kale kadude nisipokakong'oli mtima wangu huwa unashuka na mawasiliano kati ya ubongo na baiolojia huwa yanapata itilafu (Nahofia nisijebaka mitetea).

Sasa basi jiungeni nami kutakiana heri na kugongeana maLIKE.

Natumaini mchina wangu hataniangusha. hivyo Chit Chat kama kawaaa!

Hivi leo lini? Ngoja niwahi kaunta ya juu.
 
Watyaa itimba usho mwanandie....
 
nigongee like za fasta fasta....
Kathibitishe kule... Mi nazigonga tu... Ila wee punguza uchoyo. LIKE unanibania nikikuomba vingine si utanisemea kwa padre.

Babu ODM, like kitu gani, tugonganishe yale mambo yetu.
Yale mambo yetu tutayagonganisha wakati kijana wa Bikira Maria akiwa anapaa mbinguni kwa babake. Tukigonganisha kwa sasa bado ana hasira ya kugongwa na misumari hachelewi kutuchenjia. Mbona hujanigongea asee?
 
Haya ODM wajukuu wamekuelewa watakuja kwa fujo muda si mrefu kuhoji ulipo mpaka ushindwe kugonga kalike. Wengine watahisi unakagua kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeh maana ukaguzi unahitaji utulivu.
 
Aya chukua like kwanza!
Acha longo longo bana... gonga ile makitu banaa!

nataka kweli kukugongea ila namuogopa kongosho.....hachelewi kunipiga sound.....
Kongosho asali ya ODM hana kinyongo ukinigonea LIKE. Tatizo tukigonganisha vinaniliyu....

Haya ODM wajukuu wamekuelewa watakuja kwa fujo muda si mrefu kuhoji ulipo mpaka ushindwe kugonga kalike. Wengine watahisi unakagua kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeh maana ukaguzi unahitaji utulivu.
Acha hizo bana. Kagonge kule nipate appetite ya kupiga Taska Malti.
 
Kongosho asali ya ODM hana kinyongo ukinigonea LIKE. Tatizo tukigonganisha vinaniliyu....

babu na wewe mpaka niongee kwa herufi kubwa? Kujipitisha pitisha kote huku unafikiri shida yangu like tu? Nataka 'like' mieeeee
 
Babu shikamoo!mie nigongee dabali ili kuikamilisha pasaka yangu!
Ngoja nivae gloves... hiki kidude nikikigonga dabali waweza pata mimba ya ndotoni. Unajua mazara ya mimba ya ndotoni?

Nshagonga asee....

Sya ngisie sii...
Sia sii, ngakolya ngdo ksha ngegvia duchangie.

babu na wewe mpaka niongee kwa herufi kubwa? Kujipitisha pitisha kote huku unafikiri shida yangu like tu? Nataka 'like' mieeeee
Oh... sikujua kumbe, damn me.

I LIKE you. Na ukibadili tabia yako ntakulike mpaka nifall in LOVE.
 
Hii Samsung Galaxy2 yangu naona haina button ya LIKE, ngoja nimuazime wife Blackbery Bold 9900 yake, labda inaweza kunisaidia!!
 
Ngoja nivae gloves... hiki kidude nikikigonga dabali waweza pata mimba ya ndotoni. Unajua mazara ya mimba ya ndotoni?

Sia sii, ngakolya ngdo ksha ngegvia duchangie.

Oh... sikujua kumbe, damn me.

I LIKE you. Na ukibadili tabia yako ntakulike mpaka nifall in LOVE.

Mimba ya ndoton inakuawaje babu!kwan inahusisha intamingo za baolojia.
 
Oh... sikujua kumbe, damn me.

I LIKE you. Na ukibadili tabia yako ntakulike mpaka nifall in LOVE.

mambo si ndo haya....
Maana nimekuvalia kanga moja weeee huelewi.....
Nimekurembulia macho weeeeeeee ukajifanya huoni.....

Haya mi tabia nipo tayari kuibadili kwa ajili yako....mradi unilinde dhidi ya kongosho, si unajua ananyanyua vyuma mie simwezi?
 
Back
Top Bottom