Kamanda Sirro: Kuna watu wanapewa pesa ili waandamane kwenye UKUTA

Kulingana na intelijensia yao kuna watu wanapewa fedha ili waende kwenye maandamano. Hivi mbona propaganda zimezidi?

Chanzo: Clouds TV Habari
InteRIgensia yake kiboko. Haikuona ya mbande ikawahi au walitengeneza wenyewe so walikuwa wanatuzuga tu?
 
sasa....yeye si ni askari na anawajua? kama wanachofanya ni hatia, si awakamate?

kwa askari kulalamika kwenye TV is a freaking waste of time and space!
Kweli mkuu hivi wewe ni polisi umeshapata taarifa kuwa kuna watu wanagawa ngawila ili watu waandamane hiyo sept mosi kuna haja ya kwenda kwenye TV Kulalamika? au siku hizi hata polisi ni wanasiasa? kazi kwelikweli.
 
Kulingana na intelijensia yao kuna watu wanapewa fedha ili waende kwenye maandamano. Hivi mbona propaganda zimezidi?

Chanzo: Clouds TV Habari
Namkumbuka aliekuwa Kamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar Kamishna MUSSA A. MUSSA ambae sikuzote akijitapa kuwa anfanya kazi zake kisayansi. Sasa nimemkubali.Taarifa na matamko yanayotolewa siku hizi ni ya kukurupuka,mepesi yasio na uzito na kuonekana kulalia propoganda zaidi kuliko uhalisia.

Hali hii haipendezi na si tabia nzuri kwa jeshi linaoheshimika.
 
Back
Top Bottom