Kamanda Sirro: Kuna watu wanapewa pesa ili waandamane kwenye UKUTA

HATA MIE NAKATAA,WATU WANAANDAMANA KWA UJINGA NA UMASIKINI WAO TU,HASIRA ZA UGUMU WA MAISHA ANAZILETA KWENYE MAANDAMANO. MAANA UNAKUTA MTU HATA MAANA YA DIKTETA HAJUI NI NINI LAKINI NAE ANATAKA KUANDAMANA.
 
Vikao vyote popote polisi hakikini kuna vingine watajifanya vya harusi au vya CCM kumbe ni vya Chadema vya Ukuta pia pigeni marufuku boda boda zote marufuku kuonekana barabarani September moja nchi nzima wenye nia ovu wasizitumie yatembee magari na bajaj tu
 
Back
Top Bottom