kama ....

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
kama haja ndogo ni "short call" ,haja kubwa ni "long call" basi kujamba iitwe ni "Missed call" ama mnaonaje wadau
 
Dah, ebwana unataka kunisababishia kilema cha mbavu hapa...

:first:
 
hahahahaaaa...., thnx mkuu maana kwa mtindo huu mambo ya GLM tunayasahau kisela :msela:
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,mbavu yangu imepata kreki
 
kama haja ndogo ni "short call" ,haja kubwa ni "long call" basi kujamba iitwe ni "Missed call" ama mnaonaje wadau
Mimi naona kujamba sio "missed call" bali ni "KUBEEP" au unasemaje? kama umeenda kushusha havikutoka hapo ndio "Missed call".
 
Back
Top Bottom