>>>Kama Una Wivu na UNAEMPENDA tupieni majina yenu faster<<<<

mkiva acha unyonge kama jina lako lilivyo bhana! Hapa unapora dem wa mtu bwanake akikataa mnashea tu, na ukiona vp unabwaga na kuchukua mwingine. KOMAA NAO

Nataka nianze na shemeji yangu.tatizotu bado sijamjua nasubiri nimjuekwanza
 
Last edited by a moderator:
mmh nini chaendelea hapa wajameni, mbona naona kama watu wanaringishiana wenza
 
mmh nini chaendelea hapa wajameni, mbona naona kama watu wanaringishiana wenza

Tukae pembeni kwanza wenye pair watangulie kuonyesha hisia zao.. Usije ukajikuta unampenda honey wa watu ikawa
matatizo..
Tuendelee kusubiri subiri kwanza watu8
 
Last edited by a moderator:
dah thanks mb0na nimeenjoy

My arabela akiwa kwenye pozi zake...
cute1.jpg
 
Back
Top Bottom