>>>Kama Una Wivu na UNAEMPENDA tupieni majina yenu faster<<<<

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Hii itakuwa alert ya Wapendao wake ya watu humu.
zubedayo >Arabera=Wivu lazima...

Endelea wewe unaesoma.......
 
Ila kwa bahati mbaya humu nimekosa ndio nataka kuweka bandiko

mkiva acha unyonge kama jina lako lilivyo bhana! Hapa unapora dem wa mtu bwanake akikataa mnashea tu, na ukiona vp unabwaga na kuchukua mwingine. KOMAA NAO
 
Last edited by a moderator:
mkiva acha unyonge kama jina lako lilivyo bhana! Hapa unapora dem wa mtu bwanake akikataa mnashea tu, na ukiona vp unabwaga na kuchukua mwingine. KOMAA NAO

Baada ya kutoa ushauri,
Wa kwako yupi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom