Kama una simu pita hapa upige kura

Unatumia OS ipi


  • Total voters
    64
wengi wa watumiaji android.. wameangukia tu kutumia simu hiyo sababu wakifika dukani wanasema nataka Samsung...hawaangalii specification, na ukiweka poll ya aina ya simu hao android wengi watakuwa Samsung. na wote wanaotumia android maranyingi hio ndio smartphone yao ya kwanza kutumia.

watumiaji wengi wa iphone ni wale wapenda fasheni, kuigaiga na mbwembwe, ilikuonekana yupo juu wakati mostly sio wote hata kununua apps hawawezi. kujifanya mmarekani

window phone: hawa ni wataalam wa computer gigs! computer nerds.. wanaojua nini maanda ya window.

lastly....unatumia android ukirudi kwenye pc WINDOW, unatumia iphone kununua mac pro huwezi ukiludi kwenye pc window.. huoni unachanganya UBONGO wako!! au unatumia kusikiliza muziki na kuangalia picha,?! hamna document za kiofisi...ahaa

mawazo tu wakuu na hard feeling!! cheers!!
 
SHAROBALO,

Kwakuwa umemalizia kwa kusema hayo ni mawazo yako na sio ya kitaalamu basi nalazimika kuyaheshimu hata kama hayana ukweli ndani yake

BtW toka nianze kutumia pc yangu ya Windows hadi sasa tupo windows 10 sijawahi kununua software yoyote ile na ninazo software zote ninazozitaka
Sijawahi kukosa software yoyote na sijawahi kutumia a single cent
 
Last edited by a moderator:
SHAROBALO,

Ungepiga tu kura ukaondoka ingetosha mkuu kuliko hayo "mawazo yako" uliopost.
 
Last edited by a moderator:
lastly....unatumia android ukirudi kwenye pc WINDOW, unatumia iphone kununua mac pro huwezi ukiludi kwenye pc window.. huoni u

Hiv mkuu una maana gan unaposema unatumia iphone na ukirudi kwenye Pc window, unajua maana ya Pc ukiacha kirefu chake? Au unamaanisha ukirudi kwa upande wa computer? Then ukaona utumie Pc, simple ukisema pc jua tayari waongelea microsoft, hatuna pc kwa upande wa apple mkuu,
 
soma soma vizuri utaelewa tu...!! nahisi umeelewa vizuri tu zaidi ya ninivyoeleza mimi. so meseji sent mkuu!!

pc kibongo bongo inamaana nyingi ila tunaelewana hivyo hivyo mungu anasaidia.

PC

noun
1.
a personal computer.
"you can download the software on to your PC"
 
hiv mkuu una maana gan unaposema unatumia iphone na ukirudi kwenye pc window, unajua maana ya pc ukiacha kirefu chake? Au unamaanisha ukirudi kwa upande wa computer? Then ukaona utumie pc, simple ukisema pc jua tayari waongelea microsoft, hatuna pc kwa upande wa apple mkuu,

personal computer...
 
personal computer...

Designed for Microsoft windows, and not for apple or other platforms, so ukisema mtu anatumia iphone then akienda kwa pc windows ni makosa kwani ukisema pc tayari unamaana ya windows for simple translation
 
Designed for Microsoft windows, and not for apple or other platforms, so ukisema mtu anatumia iphone then akienda kwa pc windows ni makosa kwani ukisema pc tayari unamaana ya windows for simple translation
[h=3]Windows, Linux, and Mac Are All PC Operating Systems[/h]
ni marketing tu inafanya uone tofauti

The Mac Is a Personal Computer, but It Is Not a PC | Low End Mac

Macs Are PCs! Can We Stop Pretending They Aren't?

Macs Are PCs, Dammit! | Lance Ulanoff | PCMag.com
 
Hahaha mimi nilikuwa sijui....actually laptop huwa naitaga pc. Dah ahsanteni kwa somo japo mna mitazamo tofauti.... Lakini hakuna ugomvi. Mac ni mac pc ni pc.
 
Ina maana humu Matumizi Android na iPhone tu?

Unatarajia kupata feedback zaidi ya hizo hapa tz?.... Android..zimeongoza. Ingekuwa USA,,,, iOS zingeibuka kidedea. Kama ungetaka kupata feedback tofauti hiyo survey ingefanywa china.
 
Back
Top Bottom