Kama una hamu ya kutukanwa :

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
979
180
KWA TAARIFA YAKO :
Makundi yafuatayo yanaongoza kwa kumwaga mitusi / lugha chafu :

1. Wafanyakazi
/vibarua wa
TANESCO.
2. Barmaids.

3. Wafanyakazi
wa idara ya
AFYA.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10........

Ongezea na wewe......
 
Ukiona mke wako hajui matusi, mfundishe kuendesha gari kisha mruhusu aende mjini.Akirudi atakuwa na furushi la matusi ; hii ina maana MADEREVA walio wengi wanaongoza kwa matusi.
 
KWA TAARIFA YAKO :
Makundi yafuatayo yanaongoza kwa kumwaga mitusi / lugha chafu :

1. Wafanyakazi
/vibarua wa
TANESCO.
2. Barmaids.

3. Wafanyakazi
wa idara ya
AFYA.
4.Makonda
5.Madereva
6.Wapiga debe(wakiwa na hela cku hiyo)

NoTE:
Na ukitaka kujua Demu wako anayajua Matusi, we mfundishe kuendesha GARI then mruhusu aende nayo mjini ,
he he eh..! UTAPENDA
 
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !

Mkuu wewe nani kwani ?!
Ila pole,hilo dude lako kila ukijaribu ku- download afu linakugomea lazma,upate minor stress.
Kwenye list yangu hapo juu utakuwa somewhere for that, uongo ?!
 
Ukiona mke wako hajui matusi, mfundishe kuendesha gari kisha mruhusu aende mjini.Akirudi atakuwa na furushi la matusi ; hii ina maana MADEREVA walio wengi wanaongoza kwa matusi.

Hili sikubaliani nalo labda ungesema madreva wa daladala na malori
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom