Wanyakyusa mko juu

Black listed

Senior Member
Apr 6, 2023
182
252
Nahisi makatapera yanawasaidia sana, hivyo komaeni kuyazalisha na kuyatumia (kuyala) ipasavyo. Angalia vichwa hivi:
1. Wakili msomi Mwambukusi
2. Dr. Tulia Akson
3. Professor Mwafyenga (digrii 10)
4. Professor Mwandosya
5. Dr. Mwakyembe
6.
7.
8.
9.
Ongezea wengine (usimtaje Sugu, huyu siyo Mnyakyusa).
 
Nimekupata mtoa mada umepiga namba 6 au r hasa huyo namba 2 ndio boga wa taifa wapunguze kuyala ili mtindio wa akili upungue hivi huyo wa digrii kumi zimelisaidia nini taifa hizo ngebe? Nauliza tu mkuu
 
Back
Top Bottom