GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,118
- 110,511
Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na GENTAMYCINE Sports Club inafuzu kwenda Semi Final ambapo itakutana na asiyejua Mamelodi Sundowns FC
Pia itamfunga na kukutana Fainali na asiyejua kabisa Wydad Casablanca FC au Esperance Du Tunis FC na Kushinda hatimaye kuwa Bingwa na Kuchukua Mabilioni ya Fedha.
Pia itamfunga na kukutana Fainali na asiyejua kabisa Wydad Casablanca FC au Esperance Du Tunis FC na Kushinda hatimaye kuwa Bingwa na Kuchukua Mabilioni ya Fedha.