Kama ulikuwa unajua sawa, ila kwa wasiojua ni kwamba 'Mbungi' ya Jumanne Cairo ni Saa 11 Jioni Saa za Kwetu Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,555
Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na GENTAMYCINE Sports Club inafuzu kwenda Semi Final ambapo itakutana na asiyejua Mamelodi Sundowns FC

Pia itamfunga na kukutana Fainali na asiyejua kabisa Wydad Casablanca FC au Esperance Du Tunis FC na Kushinda hatimaye kuwa Bingwa na Kuchukua Mabilioni ya Fedha.
 
Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na GENTAMYCINE Sports Club inafuzu kwenda Semi Final ambapo itakutana na asiyejua Mamelodi Sundowns FC pia itamfunga na kukutana Fainali na asiyejua kabisa Wydad Casablanca FC au Esperance Du Tunis FC na Kushinda hatimaye kuwa Bingwa na Kuchukua Mabilioni ya Fedha.
Objektivu futiboo Cairo haitafanza kazi....Cairo hakuna kukosa kosa Magoli....
Modesteeee atatupia Hat Tiriki....

Naziona Hamsa na zaidooooo....

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom