kama uko free mida hii.....tuchati

hivi mtu akikupa kama dola milioni moja tuu saivi utafanya nazo nin

Daa kiukweli ntakamilisha mipango ambayo bado ipo kichwani itakayoendana na hiyo pesa....hasa suala langu la elimu!
 
Daa kiukweli ntakamilisha mipango ambayo bado ipo kichwani itakayoendana na hiyo pesa....hasa suala langu la elimu!
thats cool. je if u have to change anything on jf what would it be
 
thats cool. je if u have to change anything on jf what would it be

even though you are not specific.....if i could hve an authority may be i could have ordered any jf user to put his/picture and be true to his/her name, status etc! frankly speaking wamezid mno uongo
 
hongera sana na kila la kheri..! tuombeane ili nac tufike zaidi ya huko mliko!

Nina mke mmoja ambaye ni rafiki na mshauri wangu wa karibu ambaye humu jamvini namwoneshaga kwa jina la mama Bhooke, nikiri pamoja na malezi thabiti ya mama yangu ila huyu mama Bhoke wangu kwa kiasi kikubwa kashape vision zangu sana! Ogopa mwanamke mwenye ability ya kusoma unavyowaza...
 
Canop Aisee siwezi lala tena yaan hawa raia ninaowaona mida hii nadhan mchana huwa hawaonekani maana ni balaa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom