kama ukiulizwa swali kama hili kwenye interview, utajibu nini???

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,744
10,073
habari za saa hii wana jf,
kuna jamaa yangu katoka kwenye interview jana, katika kunisimulia yaliyomkuta huko kanieleza kwamba kaulizwa swali hili..
*may you please call yourself*
naombeni anaefahamu namna ya kujibu hilo swali aelezee tafadhali!!
 
Walikuwa wanataka ajitambulishe nadhani..
Thn kama haujaelewa kitu kwa interview its beta 2 ask rather than than kujibu usichokhjua...
 
I doubt the ability of the interviwer in using the language since that is not a standard English clause; not even an idiom! You could ask them what they meant by that.
 
I doubt the ability of the interviwer in using the language since that is not a standard English clause; not even an idiom! You could ask them what they meant by that.

Saaaaafi! Siyo kama wengine wanavyo beza kama vile wao wanajua kila kitu!
 
Wanaweza kuhoji hivyo ili kujua uwezo wa kujiamini na kutambua namna ambayo mhusika anaweza kutafsiri na kuukosoa ujumbe wenye walakini hata kama unatoka kwa wakubwa wako wa kazi...Mi nionavyo kwa kuangalia lugha mbovu ukihusianisha na umakini wa interview.Unawauliza kama wanamaanisha... to introduce who you are or anything else?
 
Sio wote wanaofanyia watu interviews wako kamili katika hiyo sector ..kumbuka kama hujaelewa kitu kwenye interview usiogope kuuliza kama hujaelewa...usikurupuke kujibu bila kujua nini unajibu haswa..
 
A good interview should be able to render interviewee freedom to express oneself so as to enable the interviewer reach the objectives of the interview. This implies that the language being used must be understandable to the interviewee save that the interview's objective is to obtain a person who masters English grammar. And for showing that you are competent and confident, don't answer any question that you'ven't well understood, better demand clarification in other words or you'll sound stupid attempting answering what you don't know.
 
wanaweza kuhoji hivyo ili kujua uwezo wa kujiamini na kutambua namna ambayo mhusika anaweza kutafsiri na kuukosoa ujumbe wenye walakini hata kama unatoka kwa wakubwa wako wa kazi...mi nionavyo kwa kuangalia lugha mbovu ukihusianisha na umakini wa interview.unawauliza kama wanamaanisha... To introduce who you are or anything else?

jamani hii kitu imemkuta mdada mmoja hivi, alipoambiwa may you please call yourself, yeye akatoa simu na kujipigia!!!
 
Back
Top Bottom