Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Hata kwa bao la mkono.. Ila wajue Mungu anawaona...Ccm walisha sema upige kura usipige watashinda tu

Paka shume ni nani?Tokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.
Biashara nyingi zinafungwa, hakuna wateja. Hakuna uhuru wa demokrasia. Hakuna furaha kwa watumishi hata wananchi wa kawaida. Wakulima mazao yao yanaoza chini. Wakuu wa wilaya wako busy kuweka wabunge na madiwani ndani. Kiwango cha Umasikini unazidi. Kodi kila kona hata kwa mamantilie... Boda boda kila siku ukamatwa na polisi. Machinga upigwa na kunyanganywa bidhaa zao..
Kwa kweli sidhani kama haya ndio mabadiliko tulikuwa tunayahitaji. Naamini Lowassa angefanya vizuri sana kuliko sasa.
Kwa niaba ya wananchi wote naomba nitumie fursa hii kuwaomba msamaha. Nilipiga kura upande wa kijani ila kwa kweli haya mabadiliko sio tuliotegemea.
Hatuna haja ya kumlaumu Jakaya kwa kukata majina ya wazoefu na ambao wangefanya vizuri, bali niwaombe tuvumilie kwa hii miaka michache mpaka 2020 tusifanye kosa tena. Kama funzo tumepata na tunaendelea kupata, 2020 tusirudie kufanya makosa..
Mungu alikuwa na uwezo wa kumzuia Sauli bali alimwacha ili wana wa~Israeli wapate funzo, ndipo baadaye akaja Daudi. Nani ajuaye malengo ya Mungu katika hili!...
Mchana ni mawazo, usiku ni ndoto, pole sanaTokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.
Biashara nyingi zinafungwa, hakuna wateja. Hakuna uhuru wa demokrasia. Hakuna furaha kwa watumishi hata wananchi wa kawaida. Wakulima mazao yao yanaoza chini. Wakuu wa wilaya wako busy kuweka wabunge na madiwani ndani. Kiwango cha Umasikini unazidi. Kodi kila kona hata kwa mamantilie... Boda boda kila siku ukamatwa na polisi. Machinga upigwa na kunyanganywa bidhaa zao..
Kwa kweli sidhani kama haya ndio mabadiliko tulikuwa tunayahitaji. Naamini Lowassa angefanya vizuri sana kuliko sasa.
Kwa niaba ya wananchi wote naomba nitumie fursa hii kuwaomba msamaha. Nilipiga kura upande wa kijani ila kwa kweli haya mabadiliko sio tuliotegemea.
Hatuna haja ya kumlaumu Jakaya kwa kukata majina ya wazoefu na ambao wangefanya vizuri, bali niwaombe tuvumilie kwa hii miaka michache mpaka 2020 tusifanye kosa tena. Kama funzo tumepata na tunaendelea kupata, 2020 tusirudie kufanya makosa..
Mungu alikuwa na uwezo wa kumzuia Sauli bali alimwacha ili wana wa~Israeli wapate funzo, ndipo baadaye akaja Daudi. Nani ajuaye malengo ya Mungu katika hili!...
NDOTO za mchana hizo..poleTokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.
Biashara nyingi zinafungwa, hakuna wateja. Hakuna uhuru wa demokrasia. Hakuna furaha kwa watumishi hata wananchi wa kawaida. Wakulima mazao yao yanaoza chini. Wakuu wa wilaya wako busy kuweka wabunge na madiwani ndani. Kiwango cha Umasikini unazidi. Kodi kila kona hata kwa mamantilie... Boda boda kila siku ukamatwa na polisi. Machinga upigwa na kunyanganywa bidhaa zao..
Kwa kweli sidhani kama haya ndio mabadiliko tulikuwa tunayahitaji. Naamini Lowassa angefanya vizuri sana kuliko sasa.
Kwa niaba ya wananchi wote naomba nitumie fursa hii kuwaomba msamaha. Nilipiga kura upande wa kijani ila kwa kweli haya mabadiliko sio tuliotegemea.
Hatuna haja ya kumlaumu Jakaya kwa kukata majina ya wazoefu na ambao wangefanya vizuri, bali niwaombe tuvumilie kwa hii miaka michache mpaka 2020 tusifanye kosa tena. Kama funzo tumepata na tunaendelea kupata, 2020 tusirudie kufanya makosa..
Mungu alikuwa na uwezo wa kumzuia Sauli bali alimwacha ili wana wa~Israeli wapate funzo, ndipo baadaye akaja Daudi. Nani ajuaye malengo ya Mungu katika hili!...
Baeleze hao wamepanic hawana la kufanya wanashinda kwenye mitandao kusambaza sumu na mtashindwa tu..tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.Twaweza: Asilimia 96 wanamkubali Rais Magufuli
Forbes Africa: Asilimia 84 ya Watu wote Barani Afrika wanataka Magufuli awe Person of the Year 2016
Jiongoze mwenyewe huyo Lowasa wako angechaguliwa na nani?
No PAIN No GAINKweli hali ni mbaya! Vilio kila kona.
Ndio mkome mlikuwa mmezoea kula vya bure, kupiga ndio ilikuwa maisha . Misheni town nyiiiiingi.
Mtu hana kazi lakini kila kiamka jioni ana laki na usheh.
Saivi ni lazima ujitume ndio upate ngawira
Kama ni uchaguzi wa cdm kurudia basis atashinda kwa kishindo lakini wa jamuhuri atakosa hata zile alizopata awaliTokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.
Biashara nyingi zinafungwa, hakuna wateja. Hakuna uhuru wa demokrasia. Hakuna furaha kwa watumishi hata wananchi wa kawaida. Wakulima mazao yao yanaoza chini. Wakuu wa wilaya wako busy kuweka wabunge na madiwani ndani. Kiwango cha Umasikini unazidi. Kodi kila kona hata kwa mamantilie... Boda boda kila siku ukamatwa na polisi. Machinga upigwa na kunyanganywa bidhaa zao..
Kwa kweli sidhani kama haya ndio mabadiliko tulikuwa tunayahitaji. Naamini Lowassa angefanya vizuri sana kuliko sasa.
Kwa niaba ya wananchi wote naomba nitumie fursa hii kuwaomba msamaha. Nilipiga kura upande wa kijani ila kwa kweli haya mabadiliko sio tuliotegemea.
Hatuna haja ya kumlaumu Jakaya kwa kukata majina ya wazoefu na ambao wangefanya vizuri, bali niwaombe tuvumilie kwa hii miaka michache mpaka 2020 tusifanye kosa tena. Kama funzo tumepata na tunaendelea kupata, 2020 tusirudie kufanya makosa..
Mungu alikuwa na uwezo wa kumzuia Sauli bali alimwacha ili wana wa~Israeli wapate funzo, ndipo baadaye akaja Daudi. Nani ajuaye malengo ya Mungu katika hili!...
Kama Uchaguzi wa uenyekiti wa CDM kweli hata kura hapigiwi. Atapitishwa kwa kauli moja. Kama Urais wa Nchi asahau kabisaaaaaaaa! He is politically finished!!Tokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.
Biashara nyingi zinafungwa, hakuna wateja. Hakuna uhuru wa demokrasia. Hakuna furaha kwa watumishi hata wananchi wa kawaida. Wakulima mazao yao yanaoza chini. Wakuu wa wilaya wako busy kuweka wabunge na madiwani ndani. Kiwango cha Umasikini unazidi. Kodi kila kona hata kwa mamantilie... Boda boda kila siku ukamatwa na polisi. Machinga upigwa na kunyanganywa bidhaa zao..
Kwa kweli sidhani kama haya ndio mabadiliko tulikuwa tunayahitaji. Naamini Lowassa angefanya vizuri sana kuliko sasa.
Kwa niaba ya wananchi wote naomba nitumie fursa hii kuwaomba msamaha. Nilipiga kura upande wa kijani ila kwa kweli haya mabadiliko sio tuliotegemea.
Hatuna haja ya kumlaumu Jakaya kwa kukata majina ya wazoefu na ambao wangefanya vizuri, bali niwaombe tuvumilie kwa hii miaka michache mpaka 2020 tusifanye kosa tena. Kama funzo tumepata na tunaendelea kupata, 2020 tusirudie kufanya makosa..
Mungu alikuwa na uwezo wa kumzuia Sauli bali alimwacha ili wana wa~Israeli wapate funzo, ndipo baadaye akaja Daudi. Nani ajuaye malengo ya Mungu katika hili!...
Tokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.

Wewe.unanini au kacheo ulikonakoWote mnaolalama mlikuwa wapiga dili, sasa limezibwa, kelele kibao.
Kumbe unasikia....!!!!!!
Njoo U prove
Mtt Mzur