Kama uchaguzi ungefanyika leo, Lowassa angeshinda kwa kishindo

Wote mnaolalama mlikuwa wapiga dili, sasa limezibwa, kelele kibao.
Na wanafunzi zaidi ya elfu sitini waliokosa mikopo walikuwa wapiga dili? Na wafanyakazi ambao nyongeza zimegandishwa, maelfu ya wahitimu kukosa ajira, watalii kuikimbia nchi na kusababisha mtafaruku wa nchi kupoteza biashara kwa Wenzetu na wish Hoteli zetu kugeuzwa matumizi kuwaachia Hosteli, maelfu wakiachishwa kazi nazo ni dili?
Ni vizuri kuushirikisha ubongo kabla ya kuposti maoni.
 
Twaweza: Asilimia 96 wanamkubali Rais Magufuli

Forbes Africa: Asilimia 84 ya Watu wote Barani Afrika wanataka Magufuli awe Person of the Year 2016

Jiongoze mwenyewe huyo Lowasa wako angechaguliwa na nani?
Twaweza?!!! Forbes anashindanishwa na rais gani?
 
Tokea serikali hii iingie madarakani, maisha yamezidi kuwa magumu, ajira ni bomu linaloenda kulipuka muda wowote. Wanafunzi zaidi ya asilimia 76% wamekosa mikopo. Utumishi wa umma umekuwa kama tanuru la moto. Serikali haina dira wala sera ya pamoja. Mawaziri wako busy kuuza sura kwenye mitandao. Milo mitatu kwa sasa ni shida.

Biashara nyingi zinafungwa, hakuna wateja. Hakuna uhuru wa demokrasia. Hakuna furaha kwa watumishi hata wananchi wa kawaida. Wakulima mazao yao yanaoza chini. Wakuu wa wilaya wako busy kuweka wabunge na madiwani ndani. Kiwango cha Umasikini unazidi. Kodi kila kona hata kwa mamantilie... Boda boda kila siku ukamatwa na polisi. Machinga upigwa na kunyanganywa bidhaa zao..

Kwa kweli sidhani kama haya ndio mabadiliko tulikuwa tunayahitaji. Naamini Lowassa angefanya vizuri sana kuliko sasa.

Kwa niaba ya wananchi wote naomba nitumie fursa hii kuwaomba msamaha. Nilipiga kura upande wa kijani ila kwa kweli haya mabadiliko sio tuliotegemea.

Hatuna haja ya kumlaumu Jakaya kwa kukata majina ya wazoefu na ambao wangefanya vizuri, bali niwaombe tuvumilie kwa hii miaka michache mpaka 2020 tusifanye kosa tena. Kama funzo tumepata na tunaendelea kupata, 2020 tusirudie kufanya makosa..

Mungu alikuwa na uwezo wa kumzuia Sauli bali alimwacha ili wana wa~Israeli wapate funzo, ndipo baadaye akaja Daudi. Nani ajuaye malengo ya Mungu katika hili!...
Sina hakika kabisa na hilo labda kama wapiga kura wakiwa ni watumishi pekee.ni maon yangu lakini
 
Vipi unaota au unaongea na nani?
 
Yaani bucha tuwachie Mafisi? mleta mada waombe watanzania radhi.
 
Ndio mkome mlikuwa mmezoea kula vya bure, kupiga ndio ilikuwa maisha . Misheni town nyiiiiingi.

Mtu hana kazi lakini kila kiamka jioni ana laki na usheh.

Saivi ni lazima ujitume ndio upate ngawira
 
kile chama cha bwana yule kinachotumia jezi za yanga noma sana,sitakaa niwakubali kwenye sanduku la kura,no matter what,
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom