Kama tungekuwa na traini kama hizi njia moja na magari ya kawaida ajali bongo zingeua malaki

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,899
altbuggy_uni.jpg
car_2.jpg

220px-New_Jersey_Transit_Newark_Light_Rail_Kinkisharyo104.jpg
220px-Tranvía_de_Tenerife1.jpg
 
hiyo sio treni kaka..hapo juu tunisia wanazo ..its so simple to have them just umeme wa uhakika ..haya mambo tunashidwa kwa sababu ya uzembe na system ambayo imeshajiweka tayari ni ngumu sana kuitoa
 
Hizo siyo tren ni tram. Sijakubalina sana na hypothesis yako kwenye issue ya ajali

Hujanipata, hizo baadhi ya nchi hazina barabara yake tu ila reil zimejengwa ndani ya barabara sambamba, na unaweza amua kuwa upande wa kushoto au wa au kulia kama ni one way na kama ni two way basi hali kadhalika kuna utaratibu zinaenda sambamba na magari ya kawaida, na zinafuata fraffic light na kupisha magari mengine ni kama traffic za kawaida tu. Kwa utaratibu huu kwetu ni ngumu sana kufuata kutokana na uzembe tulio nao.

Hali kadhalika mijini kuna magari yanayokokotwa na farasi na hao farasi wanafuta sheria za barabarani, hali kadhalika magari hupisha misafara ya farasi kadiri ya sheria za traffik zinavyotakiwa. Mambo kama haya peleka gari la farasi pale kisutu uone mambo yatakavyokuwa.
 
Ha ha ha h ah ah ah ah ah ah mliofika huko mtuambie ni tram ama treni mbona hatuelewi, ila ujumbe wa mwenye post umefika, magufuli ataleta huo utaratibu dar ngoja amalize kigamboni
 
Ha ha ha h ah ah ah ah ah ah mliofika huko mtuambie ni tram ama treni mbona hatuelewi, ila ujumbe wa mwenye post umefika, magufuli ataleta huo utaratibu dar ngoja amalize kigamboni

Tram. . .
 
Ha ha ha h ah ah ah ah ah ah mliofika huko mtuambie ni tram ama treni mbona hatuelewi, ila ujumbe wa mwenye post umefika, magufuli ataleta huo utaratibu dar ngoja amalize kigamboni

Tofauti ya train na tram ni wewe na mimi tunayezijua, lakini wengi tunaoishi na kuzoea central line na north line bora tuandike kitu ambacho watakielewa kwa urahisi. NI sawa na commuter transportation ambazo ni za long distance na short distance ana local. Zote husajiliwa commuter public trasportations kama Cab, Bus, train, tram, horse car, nk. hata zile za special occasion kama Limosine zote ni commuter public transportation. Bora tuite tu commuter lugha ambayo itaeleweka zaidi kwa wasomaji wengi.
 
Back
Top Bottom