Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,885
- 8,955
Kumekuwa na mlolongo wa Malori yamepaki njia ya ubungo kuanzia shekilango hadi njia ya Ubungo maziwa, malori haya yamepelekea kuziba njia moja na kulazimisha gari zitumie njia moja tu na kusababisha foleni.
Je siku hizi watu wanaamua tu kutumia barabara kama maegesho ya magari wakati wakisubiri kwenda wanapoenda?? Na sijui yanaenda wapi huko Ubungo maziwa??
Hii naona itakuwa kero, Serikali wayatafutie parking badala ya kuyaacha yapaki barabarani