Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

Njia ni nyeupe kwa Dk Slaa. Huo uchaguzi utakuwa ni mpya kwa ccm. Cdm tumeshamwona, cuf tumeshamwona. Ccm hatujamwona kwenye kinyang'anyiro cha urais
 
Tumpe kura Prof Lipumba aongoze Tanzania hana mpinzani.lowasa kashfa Richmond,Slaa kashfa kuchukua wake za watu,kuzini na Rose Kamili bila ndoa wakati ni Padri
 
Nachoka sana na kila siku Lowasa Lowasa....Watz baadhi yetu hovyo kabisa. Ni lini alikuwa kiongozi wa mfano na kuigwa mtu huyu? Watu waadilifu hawatajwi humu JF tunatajiwa wahalifu wanaochangia umaskini kwa Watz. Tujadili mambo ya msingi tuache upumbavu. wote mnaowataja hawajapitishwa na Chama chochote kugombea na tuna miaka zaidi ya 2 kuingia uchaguzi.
 
Kama uchaguzi ungefanyika leo uwe huru ma haki,Slaa atashinda.Nasema leo kwa kuwa huwezijua nini kitatokea huko mbeleni.
 
Bila shaka maana ZZK kisha jichanganya mwenyewe - I had so much hope kwake.. Mzee wangu Dr.Slaa kesha pakwa vya kutosha na uzee unamkabiri vibaya sana miaka 10 mingine sidhani kama ataiweza, ukweli lazima tuuseme. Hivyo basi kama sio Kitila basi Tundu Lissu hawa wanaweza isipokuwa SERA za CDM lazima ziwe wazi kujibu maswali magumu..

piga kura yako hapo juu acha kulalamika.slaa kifaaaaaaa kama messi
karibu cdm
 
piga kura yako hapo juu acha kulalamika.slaa kifaaaaaaa kama messi
karibu cdm
Huyo Messi kwenu huko Ulaya na Afrika huko South Amerika ni mchezaji kama Sunday Juma tu anasimamishwa kama hayupo Uwanjani. Anaogopwa zaidi ni Falcao wa Athretico Madrid..Hata hivyo Dr.Slaa umri unampiga bao sidhani kama anazo nguvu za kuongoza kwa miaka 10 bora akiwa mwenyekiti Mbowe ampishe katibu wake, CDM ikishinda atakuwa waziri mkuu...
 
Tuwe wakweli jamani, hivi CUF na Chadema ni chama gani kinaonekana cha kidini zaidi. Cuf mikutano yake waislam watupu, viongozi wake na wanachama wake waislam watupu, chadema ni cha kitaifa zaidi. Mimi kura yangu no kwa Dr wa ukweli

hata mi nimemshangaa huyo hapo eti slaa mdini alafu lipumba ndio anamchagua..kweli nyani haoni kundule...kuna chama cha kidini kama cuf...kwanza kwenye uongozi wake sijaona mkristo hata mmoja hawana hata aibu...wakashindanie zenji huko watuachie tanganyika yetu na wamchukue na lipumba wampeleke huko zenji
 
atolewe lipumba ili wabaki mfumo kristo pekee sio? Yaani mkatoliki na mluteri sio? Muislamu hafai kwa kuwa ni mdini au sio? Haleluyaaaa!!

ccm na cdm wanabadilisha wagombea wao kwenye chaguzi..nyie cuf toka mfumo wa vyama vingi uanze ni lipumba huyo huyo inamaanisha katika cuf msomi ni mmoja tu lipumba? hakuna waislam wengine ambao wanaweza kugombani urais zaidi ya lipumba? kama hamna basi nendeni darasani msome mpate elimu ya uongozi mje mgombanie madaraka kwenye chama chenu..hatuwezi mchagua lipumba na cuf hata siku mbili....ni bora nchi isitawalike kuliko kuwaweka magaidi madarakani
 
Tuwe wakweli jamani, hivi CUF na Chadema ni chama gani kinaonekana cha kidini zaidi. Cuf mikutano yake waislam watupu, viongozi wake na wanachama wake waislam watupu, chadema ni cha kitaifa zaidi. Mimi kura yangu no kwa Dr wa ukweli
Mkuu jibu ni CUF tena dini ya Kina Ponda na Farid
 
ccm na cdm wanabadilisha wagombea wao kwenye chaguzi..nyie cuf toka mfumo wa vyama vingi uanze ni lipumba huyo huyo inamaanisha katika cuf msomi ni mmoja tu lipumba? hakuna waislam wengine ambao wanaweza kugombani urais zaidi ya lipumba? kama hamna basi nendeni darasani msome mpate elimu ya uongozi mje mgombanie madaraka kwenye chama chenu..hatuwezi mchagua lipumba na cuf hata siku mbili....ni bora nchi isitawalike kuliko kuwaweka magaidi madarakani
Masikini ya Mungu umeshakuwa mtumwa wa Udini
Utaishia hivyo hivyo.
 
Hizi nazo kura za maoni?!!. Natamani kungekuwa na utaratibu makini wa kuwashindanisha katika maoni Wagombea watarajiwa angalau kila mwezi. Wanaofanya hivyo wanao utaratibu makini wa kuwatafuta SAMPLE ambayo itaweza kuwakilisha kwa uhalisi jamii ya watanzania, na pia kubainisha (margin of error) inayokubalika kitakwimu. Hapo wale wasiokuwa na msimamo maalum wa kichama au itikadi (independents), na wale bendera fuata upepo, watapata kipimo cha kuamua wawekeze wapi kwa ajili ya chaguzi zijazo.
Salam..
 
Kuifikiria ccm inabidi uwe na akili km ya mwenda wazimu. Tena kumweka lowasa unawatonesha vidonda vingi watz . Lipumba amebaki kuongea pumba zake za 1985! Dr.slaa anaendesha serikali ya kikwete kwa remote control akiwemo lowasa
tuache kupotezeana muda kwa tz ya leo hakuna km cdm hakuna km dr. Slaa
 
Huyo Messi kwenu huko Ulaya na Afrika huko South Amerika ni mchezaji kama Sunday Juma tu anasimamishwa kama hayupo Uwanjani. Anaogopwa zaidi ni Falcao wa Athretico Madrid..Hata hivyo Dr.Slaa umri unampiga bao sidhani kama anazo nguvu za kuongoza kwa miaka 10 bora akiwa mwenyekiti Mbowe ampishe katibu wake, CDM ikishinda atakuwa waziri mkuu...
tunahitaji rais wa kutuongoza miezi 6 tu, kwa miezi 6 nchi inabadilika na mfumo mzima unabadilika. hatuhitaji rais wa kuuza sura na rasilimali zetu kwa miaka 10.
 
Usiwe msemaji wa Watanzania wote.. Mi mwenyewe Mtanzania na sina mpango wa kuja kumpa kura au Watanzania gani unaowazungumzia?

Wewe ni tone katika bahari na unaishi kwa upukupuku wa pale lumumba na kudra za mafisadi magamba,watanzania 90% watampa mamlaka rais wao awaongoze kuelekea kwenye nchi ya ahadi...
 
Back
Top Bottom