Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

Wote watatu ni spea mkononi,afya zao haziridhishi.
Bora zito au mbowe.
Membe au magufuli.
Na yule aliekua kiongozi wa upinzani bungeni toka kafu.
 
CUF yawapasa sasa kubadilisha mgombea wao, yaani tangu vyama vingi vimeanza ni Prof Lipumba tu kama vile ni Usultani. Ni vema CUF waweke mwingine, vinginevyo kura zitazidi kupungua!
Alipojitokeza Prof Safari ikawa taabu, hadi akakimbia Chama.
 
Dr Slaa atashinda kwa awamu ya pili baada ya 2010.mpaka sasa ndiye Rais!!...huyo wa kijani aliyepo hapo magogoni mmmmh!
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa is the best candidate for Tazania. Slaa has alreadproofed failure. charity begin at home vilevile kwene vitabu vitakatifu imeandikwa asiyeweza kusimamia nyumba yake atasimamiaje kanisa? kanisa ni watu. kitendo cha slaa kubadili msimamo wake na kucha upadri na kuamua kuoa ni ushahdi tosha kuwa hana analoweza kisimamia na ndio maana hata alipoamua kuoa na kujaliwa watoto aliwatelekeza na hata kuna binti yake atwae Muchu hakumlipia ada.
 
Itakuwa vita ngumu sana ila naamini Dr Slaa ataibuka mshindi. Tatizo kutakuwa na hila nyingi hasa kuwanunua watu wa chadema na kuiba kura ila nadhani Chadema nao wamejitayarisha vilivyo na hilo

yaan wakuu hamjui kuwa mnajisumbua akili na mnapoeza muda mkidhan dr anaweza kushika nchiii, piga ua hadi tunaingia 2015 mtakuwa mmesha ona upepo. yaan magenge ya wahuni huwez kulinganisha na chama cha mwafrika ccm
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa is the best candidate for Tazania. Slaa has alreadproofed failure. charity begin at home vilevile kwene vitabu vitakatifu imeandikwa asiyeweza kusimamia nyumba yake atasimamiaje kanisa? kanisa ni watu. kitendo cha slaa kubadili msimamo wake na kucha upadri na kuamua kuoa ni ushahdi tosha kuwa hana analoweza kisimamia na ndio maana hata alipoamua kuoa na kujaliwa watoto aliwatelekeza na hata kuna binti yake atwae Muchu hakumlipia ada.
yeees u are right . tusiwe wanafiki wakati ukweli tunaujua RAIS EDWARD LOWASA ATAANZA KUTEMBELEA KINGORA RESMI 01/01/2016
 
Ni dhahiri na itakuwa dhahiri kuwa LOWASSA ndiy Next President hata akigombea kwa tiketi ya CHADEMA ikiwa CCM watagoma kumpitisha! Udhahii huo uko hapa kuwa, CCM watatangulia kupata mgombea mapema March 2015, wahanga kina SITA na timu yake watahamia CDM na Ushamba wa CDM watawapa nafasi mfano Mwakyembe. Hii siyo ajali ni mbinu maalum ya kumsindikiza Lowassa Ikulu kwa nguvu ya SLAA maana atakuwa amejitoa kwenye kinyangányiro.
Ikitokea CCM hawajampitisha Lowassa basi vita itakuwa kubwa endapo tu ataamua kutohama chama na ndipo Second Choice inapokuwa SLAA!

2015 - Edward Ngoyai Lowassa!
Sasa ni dhahiri mgombea wa CCM atakuwa Lowassa, Chadema Dr Slaa na CUF Prof Lipumba. Unless afya ya mmoja wao au baadhi yao iwe ni mgogoro sioni namna ya kuwashinda hawa katika vyama vyao. Je, wakiingia ulingoni nani unadhani atashinda?
 
Na wewe ndo utakuwa kampeni meneja wake siyo? Subirini hiyo 2915 itafika tu...
Bila shaka maana ZZK kisha jichanganya mwenyewe - I had so much hope kwake.. Mzee wangu Dr.Slaa kesha pakwa vya kutosha na uzee unamkabiri vibaya sana miaka 10 mingine sidhani kama ataiweza, ukweli lazima tuuseme. Hivyo basi kama sio Kitila basi Tundu Lissu hawa wanaweza isipokuwa SERA za CDM lazima ziwe wazi kujibu maswali magumu..
 
Back
Top Bottom