Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

Watu walikuwa hawatumii uzazi wa mpango lakini hawakuwa wakiongezeka na kuwa full population unadhani ni kwa nini ?

Hata mabibi zetu walikuwa wakizaa mpaka watoto 12, lakini ni wangapi walikua ?
Fact
 
Hawa watu weusi wenye mawazo mgando hivi is a disgrace to our race.
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================

Wahazabe,wamasai na wewe barobaro wa manzese,mbeya,mwanza pwani nk nani anajua kupambana na wanyama wakali? Wazungu na waafrika nani wameishi na wanaishi na wanyama wakali? Hivi wazungu wanajua kupambana na simba?, Hizo bunduki zimeguduliwa juzi tu.Acha kuwadharau waafrika wazungu wamemejifunza mengi kutoka kwetu na bado wanajifunza.
 
yeye anasema watu weusi ungekuta wameshafutika, wazungu wamekuja kutawala Afrika miaka ya 1800, so Waafrika wamesurvive miaka yoote hiyo hadi 1800, halafu wafutike wote ndani ya muda mfupi kisa wazungu hawakuja?
Hana akili.Elimu ya mzungu imempotosha asijitambue.
 
Uzembe wa kufiri wenye kiwango kinachositahili tunu / tuzo ukiwa na .........kiukweli huwezi fikilia jambo LA ki........nga kama hilo ko kwa mtazamo wako unataka ufanye kuwaabudu hao ama
 
Hiyo ya kutoheshimiana inaendelea hadi leo... kifupi ni kwamba waafrica bado tupo uncivilized.
 
JamiiForums inatumia software ya kizamani ambazo kiteknolojia ni outdated.
Ndio Maana Ukiangalia Quora, Fb na Reddit Ni Maboresho Ya Forums.
Majita hakuna Elimu bora sababu hkn mwalimu wa maana ataenda huko! wewe umelishwa matango pori
 
Nadhani Kuna mijadala tusiukwepe Kama great thinkers.
1. Muandishi amekosea kusema tungekuwa wiped kabisa. Kuua race fulani sio rahisi.
2. Kukua kwa Nguvu (empire) Ni utashi ambao unasukumwa na hamu ya maendeleo ambayo sisi weusi hatuna
3. Historia ya ZAMANI ya Africa inabeba sehemu ndogo ya kujivunia na tunategemea Yale yaliyoandikwa na kutunzwa na wazungu.
4. Gunduzi tulizo nazo na tunazotumia Ni za wazungu. Wakati wao wana invest Kwenye technology sisi tunaharibu mfumo wa Elimu.
5. Wazungu walitafuta makoloni ili kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi na kujitanua na kusambaza utamaduni wao. Sisi hii hamu hatuna.
Weusi tukubali weaknesses zetu, tuzijadili tutengeneze hamu ya kuvuka kutoka hapa tulipo. Yapasa siku moja na sisi tuwa oppress wazungu. Ni kuamua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
Mleta thred inaonesha hujasoma historia ya Afrika kabla ya ujio wa wakoloni. Mpaka kunako mwaka 1400s Afrika na Ulaya walikua na kiwango cha maendeleo kinachofanana. Tayari nchini Mali kilukua na Chuo Kikuu cha Timbuktu kikifundisha hisabati na elimu ya Kiislamu. Kulikua na viwanda vya kuyeyusha chuma mji wa Tlemcen kule Benin na maeneo mengine. Wazungu walikuja kushusha maendeleo ya Afrika baada ya kuanzisha biashara ya utumwa ambayo ilichukua nfuvu kazi yote na kupeleka Uarabuni, Marekani na Ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wameturudisha nyuma sana na elimu ya wazungu imetuelimisha kidogo na kutufanya watumwa wao
 
Mleta thred inaonesha hujasoma historia ya Afrika kabla ya ujio wa wakoloni. Mpaka kunako mwaka 1400s Afrika na Ulaya walikua na kiwango cha maendeleo kinachofanana. Tayari nchini Mali kilukua na Chuo Kikuu cha Timbuktu kikifundisha hisabati na elimu ya Kiislamu. Kulikua na viwanda vya kuyeyusha chuma mji wa Tlemcen kule Benin na maeneo mengine. Wazungu walikuja kushusha maendeleo ya Afrika baada ya kuanzisha biashara ya utumwa ambayo ilichukua nfuvu kazi yote na kupeleka Uarabuni, Marekani na Ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Nini tulikubali kuwa watumwa? Kwa Nini tulikubali viwanda vyetu vifungwe? Kwa Nini tulikubali????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom