Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,616
34,068
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

======================

 
si kweli mkuu, kama sio Wakoloni ungekuta sasa hivi Africani nchi za viwanda, matajiri wakubwa, huu umasikini usingekuwepo...Hahahaa, natania

Ila seriously tungekuwa tunaishi maporini lakini tusingefutika, mbona kuna makabila ambayo hayajafanya contact na watu wa nje na bado yana survive?
 
NI MUDA GANI JAMII YA KIAFRIKA ILIKAA KABLA YA HAO MABEBERU KUJA??!! JE MBONA HAWAKUFUTIKA NYAKATI HIZO??!!
Watu walikuwa hawatumii uzazi wa mpango lakini hawakuwa wakiongezeka na kuwa full population unadhani ni kwa nini ?

Hata mabibi zetu walikuwa wakizaa mpaka watoto 12, lakini ni wangapi walikua ?
 
Anamaanisha extinction huanza na kutoongezeka. Faru alikaribia kutoweka. Kuna binadamu wakaliona hilo. Nadhani unajua kinachoendelea.
yeye anasema watu weusi ungekuta wameshafutika, wazungu wamekuja kutawala Afrika miaka ya 1800, so Waafrika wamesurvive miaka yoote hiyo hadi 1800, halafu wafutike wote ndani ya muda mfupi kisa wazungu hawakuja?
 
E

Elezea vizur tafazar
Simply ni kwamba Africa ilikua inaendelea kwa kasi ndogo hilo halina unishi ila walipokuja wazungu wakowavuruga watu wa enzi hizo nwa wakaanza kujenga nchi zao kupitia rasilimalli za Africa pamoja na nguvu kazi miaka karibuni 500 wanajenga kwao wakastop Africa so kufidia gape la miaka 500 mpaka tuwakute ni habari nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom