muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
Ingekuwa Chadema hawakujikita sana na Udini na Uchadema? Basi Chadema wana nafasi mzuri ya kuwaunganicha Wtanzania na kuwaita wakaitika na kuweza kuiondosha ccm ktk madaraka na kuizofisha kabisa. Lakini tatizo kubwa la Chadema ni kushindwa kuwaunganisha Wtanzania ktk misingi yao ya imani za kidini na kisiasa.
Kwa vile Chadema wanapendwa na wana watu wengi, kwa hio njia ya kuingia ikulu ni yepesi kwao ikiwa watajipanga vizuri sana?. Nilazima Wajikitee sana ktk Utanzania na haki za Mtanzania ili kuweza kuwaunganisha Wtanzania. Isiwe wakifanya maadamono yao yanakuwa ya Kimkowaa na ki-Chadema na udini.
Kuna watu Tanzania wenye imani za kidini tafauti na wanawaunga mkono sera nyingi zao na wanatamani ku-joint na wao ktk harakati za ukombozi la kini wanashindwa hapo. Nilazima Chadema wabadilike ili kutumia people power, nguvu ya Dola haiwezi kushinda nguvu ya watu(people power) angalia Serekali ya Tunis na Misry iko njiani na nyingi tuu zitafuatia zenye utawala wa kimabavu zidi ya raia zake.
Sasa leo Chadema wana opportunity mzuri golden chance hawajuwi kuitumia imebaki pambo la nyumba, hivi sasa Marekani wanakubali nguvu ya watu na kuipa motishaa sasa Chadema muna subiri nini?.
GONGA HAPA: Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye.