Kama nimewakosea naombeni mnisamehe!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,983
22,173
SOMO KUU MSAMAHA
WENGI WAMESHINDWA KUELEWA UMUHIMU WA KUKIRI NA KUOMBA MSAMAHA.BINAFSI NAOMBA NIKUJULISHE SIO TU NI MALAIKA BALI TUNAKOSEAGA LAKINI TUMEPEWA UFAHAMU WA KUWAHI KUJUA UMEKOSEA WAPI NA KUOMBA MSAMAHA
NENO HILI NI GUMU SANA KWA WENGI NA WENGI WAMEONDOKEWA NA WENZA WAO KWA KUKOSA UVUMILIVU LAKINI
NAAMINI LAITI WANGEKUWA NA MUUJIZA WA MSAMAHA HAKIKA LEO HII WANEGEKUWA WANAKULA NA KUFAIDI PEPO YA NDOA

Hakuna ndoa isiyokuwa na mikwaruzano ukitaka kujua hili angalia kama umezaliwa na dada ama kaka yako mliotoka tumbo moja umeona mnavyokurwazuna na baadae kuja kuombana msamaha hata kama ni mwezi..je sembuse huyu alietoka kilosa
..ikwiririi,,,mchambakwimba zanzibar,ama kishumundu ambae amekuja dar kwa ajili yako Mungu akakuonyesha ukaanza na ushuhuda wa ametoka kwa bwana AMEN sasa iweje leo umeshindwa kummudu unakimbilia oohh siyawezi umeshindwa wewe nani atauweza mzigo wako

Wakati mkifikiria kuachana jiulizeni hivi mnavyoachana nani ataweza kukaa na mimi..na je mjiulize sababu halisi zilizofanya muwachane je mnaoenda kuwa nao wataziweza kuzibeba..mi nasema hivi kwa nia njema kabla ya kusema naomba msamaha
akikisha umejua tatizo lako nini na wapi pa kujirekebisha..

vinginevyo kuna wanaoshindwa kuvumilia mwisho wasiku wanakuhesabia msamaha na kudai hata yesu alisema mara 7 sabini wew umefikisha 491 badala ya 490 sasa nimechoka na liwalo na liwe ikifika hili mpwa na kama kweli umekuwa unaomba msamaha hilo salaba analitatua malaika gabriel pekeyake

Mwisho jifunze kuomba msamaha neno hili hata makazini linasaidia sana wacha kwenye maisha ya ndoa ukiwa na ufahamu akika shetwani atoweza kukuvuzia nakutakia

JUMAPILI NJEMA
 
Tujifunze kuomba msamaha au kusamehe?
Mimi huwa nasamehe tu hata nisipoombwa msamaha.
Sina muda wa kupoteza kuchukia wakati Mungu amekuwa dikteta hataki kutuambia tunakufa lini.
Niache kuishi kwa raha nianze kukasirika..kwangu haipo hiyo.
 
Asante sana kwa somo lako la j'pili, nadhani wale waliowakosea wenzao na hawako tayari kuomba msamaha watakuwa wamepata pakuanzia, j'pili njema.
 
Tujifunze kuomba msamaha au kusamehe?
Mimi huwa nasamehe tu hata nisipoombwa msamaha.
Sina muda wa kupoteza kuchukia wakati Mungu amekuwa dikteta hataki kutuambia tunakufa lini.
Niache kuishi kwa raha nianze kukasirika..kwangu haipo hiyo.
Chondechonde Brigita usijitafutie laana, Mungu wetu ni mwema sana na mwenye hekima ya hali ya juu na wala siyo dikteta. Tafadhali sana futa hiyo kauli yako.
 
Tujifunze kuomba msamaha au kusamehe?
Mimi huwa nasamehe tu hata nisipoombwa msamaha.
Sina muda wa kupoteza kuchukia wakati Mungu amekuwa dikteta hataki kutuambia tunakufa lini.
Niache kuishi kwa raha nianze kukasirika..kwangu haipo hiyo.

Waoo!Lakini hapo kwenye udikteta mh!
 
To be honest, watu wengi tumekuwa wagumu sana kuomba msamaha hasa inapofikia hatua kwamba wewe unaona hujakosea lakini inaonekana kuwa umekosea machoni pa watu wengine. Hapo sasa kwa wewe mkristu, kumbuka kilichotokea kwa Bwana Yesu, na hapo hapo jishushe, omba msamaha.

Kusamehe pia ni ngumu sana wandugu zangu! Hebu fikiria mtu anakutendea maovu mengiiii, tena mengi mno, then anakuja kuomba msamaha wakati wewe hata madonda hayajapona ya yale maovu alokutendea. Hapo unatakiwa kuomba neema ya Mungu ili usamehe coz wewe kama wewe huwezi kusamehe kirahisi my dia. Unaweza kusema kwaa mdomo tu kuwa umesamehe, but ukimwono yule alokukosea donge linakukaba!!!

Only God can give you the power to forgive and forget.
 
Tujifunze kuomba msamaha au kusamehe?
Mimi huwa nasamehe tu hata nisipoombwa msamaha.
Sina muda wa kupoteza kuchukia wakati Mungu amekuwa dikteta hataki kutuambia tunakufa lini.
Niache kuishi kwa raha nianze kukasirika..kwangu haipo hiyo.

kusema mungu ni DIKTETA ni Kufuru kubwa kabisa taka toba wewe na uwe na break na maneno yako vingnevyo utaangamia..iyo pumzi unalipa shiling ngapi kila sekunde unayoitumia? Shukuru je ungeumbwa nyani au mende? Tena tubu fasta kabla hujaondoka ghafla khaa!!
 
kashengo hii avator naenda kumwekeaa mwanangu akikaataa uji tu namwonyeshakahhh yaani kuna watu wanakufuru najua kuna matusi lakini hili la huyu jamaa kapitiliza aisee angezaliwa cameroon sijui angesemaje ama ndio wale walee maana wengi awamwamini Mungu wakishatengeliwa ile bikiria ya kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehope ufanani nae ngriiiiii jumatatu njema
 
Back
Top Bottom