Kama ni chaga basi mimi nimepewa na kitanda chake

francis kibiki

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
477
516
Wana JF, poleni na majukumu pamoja na changamoto mnazopitia katika maisha.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nimejiajiri. Katika changamoto nilopitia hiii hapa imeniuma sana, sijawahi kumia kiasi hiki kwenye swala hili la LET HER GO. Kiufupi sijawahi umizwa kiasi hiki mpaka nashindwa kwenda kazini kisa huyu mwanamke. Always nikikumbuka moment za mimi na yeye dah! nabaki kuumia tu mpaka najiuliza nimekosea wapi.

Story ni hivi mwaka jana mwezi wa 9 ilikuwa asubuhi nimeaka zangu niende mishe zangu sasa kuna mgahawa nimezoa kunywa chai asubuhi ile nimepitia katika mgahawa kuna mwanamke mule nilimkuta anakunywa supu nikamsalimia "dada mambo" akajibu "poa".

Nikatoa smart yangu kwenye mfuko nikatia earphone maskioni nikawa naskiliza music huku nikihudumiwa chai, nikatoka pale nikaenda kwenye shughuli zangu. Kesho asubuhi tena kama kawaida yangu nikaingia mgahawani maana huwa narudi nimchoka nashindwa hata kupika. Sasa ile na kaa kwenye sit yule mwanamke niliye mkuta pale jana anakula nae akawa anaingia akaja aka kaa kwenye sit karibu na mimi, akanisalimu nikamwitikia fresh.

Mimi kama kawa earphone maskioni ila alinisemesha "kaka simu yako nimeipenda nihonge basi". Mimi nikacheka nikamwambia usijali, nikaendelea na mambo yangu. Hatukuendelea na story mimi nilipomaliza kunywa chai nikasepa zangu, Sasa jioni narudi kuna dada ambaye nafahamiana nae toka kitambo ila kanizidi umri na nilisoma nae ila alikuwa kanitangulia sana hivyo nilimchukulia kama dada wa heshima kwangu, sasa ile jioni narudi nakutana nae yupo na yule mwanamke ambaye nilikutana nae kwenye mgahawa asubuhi.

Dada akanichangamkia pale na yule mwanamke nikamsalimia story mbili tatu pale tukacheka, akanitambulisha yule mwanamke ni rafiki yake ambaye wanafanya naye kazi. Nikashukuru kumfahamu na huyu dada ambaye huwa tunaheshimiana anayo number yangu kitambo sana huwa hatuwasiliana kwa sana. Sasa tumeagana mimi nikasepa zangu ile nafika home yule dada ambaye nilisoma nae akanipigia akanambia "mdogo wangu kuna kitu nataka nikwambie" nikamjibu "you are welcome".

Dada akanambia "yule rafiki yangu ametokea kukuelewa kinoma, yaani amekupenda", nikabaki nashangaa. Sister nikamjibu mimi nina mtu wangu, then ninamuheshimu, halafu kucheat sijuagi. Kutoka na wanawake wawili kwa wakati mmoja hizo mamboz sina. Sister akanikomalia mwelewe tuu dogo, kakupenda hana amani kabisa, anaumia kinoma. Ulikuwa kama mtihani kwangu, zilipita kama siku kadhaa mbele sister anakazia swala nikamjibu mwambiae aje mwenyewe anitamkie hayo maneno anayo kwambia wewe.

Kweli yule mwanamke alinatafuta kwenye simu akaomba aonane na mimi na number yangu alipewa na yule dada. Tulionanae yule mwanamke akanieleza wazi lakini bado nikawa kwenye msimamo wangu alinibembeleza sanaaa mpaka kiasi alichofikia akaanza kutoa machozi na mimi pale ndipo nilipoanza kuwa mzaifu kabisa ikabidi nimkubalie tu ila kishingo upande. Akafurahi, maisha yakaendelea lakini kadri siku zinavozid kwenda nilianza kupatwa na hisia nilianza kumpenda yule mwanamke, nimedumu nae kama miez 6 hivi ila kabla ya hapo nilisha mwambiaga kuwa nimejiajiri katika biashara zangu kuna msimu huwa unakata kabisa biashara inakuwa mbaya.

Na nikamchana kabisa usije ukawa umenipenda kwajili ya maslahi yako, mwenyewe akaapia kabisa kwa SIR GOD kabisa tukapinga kwa vidole kuwa hato niangusha wala kuniacha atakuwa na mimi kwa shida na raha ila tukirudi yeye amepanga na mimi nimepanga geto. Kadr siku zinavoenda penzi linanoga, akiniomba hela akiwa na shida na fight mpaka nampatia hela alizokuwa ananiomba ni ndogo ndogo sana kulingana na shida zake. Kuna siku aliniomba nimwongezee 60 anunue kitanda nikampa, hela za kula nampa, akiumwa kama kawaida linakuwa kama jukumu langu vile.

Nilikuwa sina mazoea ya kulala kwake ila kuna siku aliniomba nikalale kwake, yeye alikuwa hayupo, alinambia yupo kwa dada yake anaumwa, halafu mtaani anapo kaa kuna vibaka kweli, nilimjibu kwa nini usiombe kwa majirani zako hapo wakuangalizie chumba? akagoma lakini uwezekano wa kumwangalizia hicho chumba wapangaji wenzake ulikuwepo. Ikanibidi nikubali lakini sikupenda kulala pale kwakweli kuna mtu alinikabizia funguo, nikaenda kulala ilikuwa usiku wa mwaka mpya mida ya saa 2 usiku, kwakweli nilikuta chumba kipo vululuvululu.

Ikabidi nijipinde nitandike na kusafisha then nikalala asubuhi nikasepa zangu, aliporudi alinitext asante mume wangu nikamwambia poa usijali ,maana nilifanya usafi. Sasa siku zinasonga akawa akipika anataka nikale kwake na mimi utamaduni wa kula kwake ulikuwa haupo. Ananiambia kabisa hapendi niwe nakula mgahawani yaani anaforce, akipika niende kula.

Demu mashuka alikuwa hana nilimpa 5 sometimes nalala kwake ila alikuwa anaforce nilale namkaza ila na ndomu ila nilikuwa na akili kama za scofied nafikiria mbali sana kuusu yeye. Sasa kimbembe kinaanza kuna siku nimelala kwake akaanza kuniletea habari anadaiwa kodi kwahiyo nimsaidie kulipa. Ofcoz nilianza pale kumpima akili yake ikoje nikamwambia mum saiv mambo yangu hayaja kaa sawa kama nilivokueleza mwanzo ila kwenye upande wa mxos ntakusaidia nikitok kazin ntakuwa nakuja na chochote akasema powa ila kumbe dogo alikuwa anacheat

Siku niloumia zaid kuna siku aliondok akiwa ameniacha geto lake alienda alidai anaenda kwa sister ake alirud saa 7 usik nikatulia siksema chochote mala ya pili kuna sik natoka job nimpelekee zaga mboga mboga akapke ale kuna gar nilikuta imepaki kalib na geto lake sikutilia maanani nikaipita nikijua ni mtu 2 baki kapaki ile naingia kwake kuna mtoto mdogo nilikutana nae ambaye ni mwenyej pale nikauliza uyu flan yuk wap akasema ametoka ata dak 2 hajafikisha me nikajiuliza mbona njia ni moja ningekutana nae bas kwa mda huo nikatoka zangu nimpigie ile nabonya sim yang namtafuta nikaipita ile gar ambayo ilikwa imepak ila akil inanambia geuka kugeuka namwona dem wangu kabis kwa mcho mawil vioo vilikuwa vimefungwa ila vinaonesha akiwa na mzee kabisa tena babu afu dem wangu kainama mzee kama kamficha

Iliniuma sana nikajifanya sijaona nikampigia nikamuuliza uko wap akasema nimeenda sokon nikamjib kuna mboga zako apa kuna mtu namwachia itapitia mim ninaharaka kodogo akajib poa ila nakuomba uje ulale kwangu me apo ninahasir ila sitak kujionesha kwake badaenimeenda kwake mida ya 4 usik tumelala niakuliza leo nimekuona ila ulikuwa kama umejificha kwa uole sas nauliza akaanza kuwa mkali mimi yule ni mjomba wangu sijui mala vile si unajua wanaume hatujui kubishana na wanawake japo iliniuma sana asubui akaenda kuoga nikashika sim yake na parten nikuwa najua ila yeye alikuwa hajui yule mzee mimi namjua kama mt wa ,

mtaan kwet niliona meseji akimtumia ela ya kodi na chat zao pia iliniuma sana aaa maan nilianza kumpenda kwel mim sio kwamba ela ya kod nilikuwa nshindwa kumpa uwezo ulikuwepo ila nilikuwa nampima yupo na mimi kimaslah ama la maana alikuwa mtu wa kuomba ela sana nguo akipenda namnunulia kwa kwel lakin pale alipo kuwa anakaa kahama kimya kimya me nikiwa safar kama ya wik moja bila kunambia me narud namtafuta nauliza uko wap nimekuja kwako nimekukosa wanadai umehama

Wana JF kaanza kunichamba una nn wewe achna fanya yako nifanye yangu ohooo mwanaume ujitambui unakuja kulala kwangu unanitomba ata ya ela ya sabun hunip ya kufulia mashuka yaan kaongea mengi mala mimi mwongo niliye kubuuu nilijishsha kwake nikitaka nionane nae ili tuzijenge tofaut zet alikataa alisema nimwache aendee niliomba sana aligoma amenitukana sana bas ilinibid nikubali hali halis lakin niliumia sana na kinachoniuma nilikuwa na malengo nae mazur tena ya kumwoa ila nilikuwa na mtega upande wa pesa simzoeshi kwa sana dem kanipa shit mpka najuta nilianzaje kwanza na bado nampenda na mabaya yake ata siyakumbuki alonifanyia mpka saiv namikilia coz nilikuwa na lengo nae ila sikumwabia mapema kanipa shit dah

Kila nikifikilia naumia sana mpaka inafik wakat wanawake wote nawaona wabaya kwang ila mt wangu ambaye nimemtaja mwanzo yupo chuo anasomea udaktar naish nae vizur kila sik ananipigia si kanimis tok nianze mahusiano na hiki ki mwanake kilichonipa shit sijwah kwamwe kuruhusu angilie mahusiano na huy dem wang ambae yupo chuo ofcos nilitenda zambi ya kumcheat dem wangu wa chuo but god forgive me ila bado naendelea nae tatizo liko hapa uyu mwanake nilimpenda sana kiasi kwamba nabaki saiv naumia mimi ila wanawake nawapa ushaur wanaume mpaka tunawaoa tunaanglia vit vingi sana hatukurupuki japo bado naumia mpaka saiv wana jamiii nishaurini jaman stress izi ntazipoteza vp maana haziishi bado naumia mimi 2
 
Japo nimesoma kwa shida kama nakimbizwa vile hakuna nukta mkato wala ?
Iko hivi achana na mwanamke aliyepanga halafu hana kazi wala biashara, ukishindwa kumtimizia mahitaji wenzako watafanya.

Halafu toka siku ya kwanza alitaka umuhonge simu hukujiongeza tu?
 
Japo nimesoma kwa shida kama nakimbizwa vile hakuna nukta mkato wala ?
Iko hivi achana na mwanamke aliyepanga halafu hana kazi wala biashara, ukishindwa kumtimizia mahitaji wenzako watafanya.

Halafu toka siku ya kwanza alitaka umuhonge simu hukujiongeza tu?

uMEWEZA KUSOMA MKUU? Nisaidie kusamaraiz pliz
 
Kwanza kabisa bado nacheka kwa comment zilizotangulia , kwa kweli huu uandishi wako kiboko, inahitaji uvumilivu kusoma mpaka mwisho. Turud kwenye ishu yako, kwanza pole unaonekana kwenye swala la mapenz bado, yani huyu kipepe uliekutana nae ndo kama amekufungulia dunia kukuonyesha nini hasa kinaendelea kwenye ulimwengu wa mapenz, mana ungekuwa umekomaa kwenye sekta hiyo huyo dada wala usingekuwa nae alionesha ni paka mapepe toka mwanzo, achana nae msahau kabisa ukiendelea kumtafuta anaweza kukubali mrudiane ila this time ndo atakuonyesha rangi zote yale ya mwanzo yatakuwa trailer mana ameshaujua udhaifu wako MSAHAU kwa usalama wako. Na pia huyo bint wa watu anaesoma achana nae pia wewe si mtu sahihi kwake na humpend ndo mana hata ulishaanza kuwa na malengo hata ya kutaka kumuoa huyo kiruka njia ukamsahau kabisa huyo binti wa watu that means hayuko moyoni mwako kiivyo let her go then uanze upya utampata alie sahihi kwako utakaempenda kwa dhati
 
Acha kumtega na kumpima mwanamke, Kama ulikuwa umemuelewa tangu mwanzo ungeonyesha nia. Unaweza kumsaidia kodi lkn hukutaka..ulitaka akapate wapi? Umesababisha mwenyewe ashawishike umeshindwa kumtuliza
Hlf siku nyingine usiwe mrahisi hivyo maharage ya mbeya..mdada king'ang'anizi Kama huyo alikuwa na malengo yake tangu mwanzo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom