Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.
Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.
usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.
Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............
Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....
Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.
Aisee.... yaani hata haka ka cheque kangu ka laki saba unusu nilikokua naenda kukadai huku kidogo nibadili mawazo nikarudie kesho.