Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

Hawa wazee wa siku hizi hawafai kabisa,wanajidai wanaenda na wakati,kwanza shughuli yenyewe hawaiwezi,ukimpeleka puta anaweza akufie kifuani buree.
 
do u know the repayments? if u dont know dont dare try it. danger!!!!!!!!

Yeah, its easier to get AIDS in return but most people dont seem to be real worried,I think its because AIDS dont kill immediately. If AIDS wouldnt let a victim alive for more than a month the fear of it would have been great!
 
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.

Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.

usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.

Aisee.... yaani hata haka ka cheque kangu ka laki saba unusu nilikokua naenda kukadai huku kidogo nibadili mawazo nikarudie kesho.
ungeomba na wewe akununulie walau lav4, manake naona umetamani sana hadi umejilaumu kwanini umezaliwa mwanaume...ujue atalipa hapo na akijakutwa na kakijana kanamkamua uyo mzee anaweza mpiga bastola au mrushia majini...nyie kina dada muwe makini, hao wazee wamepitia mengi, wameona mengi na wana uwezo wa kufanya mengi, mwingine ukichukua gari yake hivyo afu ukamzingua, anaweza kukuharibia maisha yako yote ukatangatanga kama popo maisha yote....na we mkaka, unatamani hivyo.....angalia usijekuwa kameruni...atakulipia uyo mzee ukiendelea kumfuatilia.
 
mbona kama wanapenda huko kumiliku haku-last longer? Ni kujidanganya tu rafiki yangu.

naongelea penzi la mme,mchumba sio la pedesheeeeeee, sasa kama huongwi na mme wako pole sana
he he heeeeeeeeeeeee hujasoma post zangu? kwa taarifa yako kama kuna mwanaume anajua kuhonga basi ni mume wangu. lakini hilo halinifanyi nilale tu kusubiri kila kitu toka kwake........................ nafanya kazi, napata mshahara, na hilo halimfanyi mume wangu akaacha kuni-spoil sababu nina hela zangu
 
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.

Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.

usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.

Aisee.... yaani hata haka ka cheque kangu ka laki saba unusu nilikokua naenda kukadai huku kidogo nibadili mawazo nikarudie kesho.
kuna kitu hujajua.
sio kua wanajua kukea. ni kua wanauwezo wa kukea.
hyo landcruser kesho anapewa mwingine, keshokutwa mwingine.
 
the last tym I checked care should not be equivalent to LOTS of those papers that shouldn't be torn apart. a.k.a MONEY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom