Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Kuna jamaa alikuwa anatuambia tuoe ila alikuja kugongewa mkewe na ndoa ikafa.
Sasa yupo single. Huwa tunamshauri oa, anasema ataoa tu naye yupo single.
Kweli ndoa ni tamu sana
Mkuu, hayo ndiyo makosa mnayofanya wanaume wa siku hizi..

Ukigongewa achana naye oa mwingine....

Mwanaume hajaumbiwa kukaa mwenyewe, mtu mzima ukikaa mwenyewe unakaribisha matatizo...

Kama mwanamke anakupanda kichwani, piga chini oa mwingine...

Shida yenu mmefungwa kwenye minyonyoro ya dini, eti mke mmoja "till death do us apart"....
 
Wanaume wa siku hizi wana upuuzi mwingi ooh sioi single maza.ooh sioi mwanamke yoyote
Ila ukimcheki sasa.nguo alonayo ni tishert ya simba au yanga.bank hakuna chochote.ajira yenyewe ya mchongo mshahara haufiki next month
Familia inamtegemea ya wazazi na ukoo wote
Yaani wanaume wenye hela zao wanawaza ujinga sasa.
Tafuteni hela msituletee stress zenu
Na wanawake wa sasa wanawaza hela tu. Ndiyo maana wengi hawaolewi au wamezalishwa tu kwa sababu ya ujuaji mwingi na kupenda hela.
Utakuta kwao ni masikini, baba yake hana gari, wanaishi nyumba ya udongo na yupo huko kijijini analima. Hawana hata solar.
Kwao mtu aliyesoma sana ameishia form 4.
Huyu mwanamke akifika mjini, naye anataka kuwa wa mjini. Ujuaji mwingi na anataka mtu mwenye hela hajui hata huyo mwenye hela alipitia manyanyaso mengi ya kukataliwa na wanawake, kutukanwa hata kuzomewa kisa hana hela.
Akishapata hela, wanawake wanaanza kumshobokea na moyoni mwake anaamini pesa zake ndizo zinamfanya apendwe. Anakumbuka yaliyopita.
Hapo ndipo wanawake wengi wanazalishwa na kuachwa.
Unajiuliza huyu mwanamke anayetaka mwanaume atafute hela, kwanini baba yake hana hela na mama yake yupo na hajaondoka?
Hela ni muhimu ila acheni kuwa na tamaa ya hela. Ndiyo maana wengine utakuta wanajiuza, wanafanyiwa mambo mabaya, wananyanyaswa kingono kisa hela
Ukitoa ngono, mwanamke hana cha kukupa
 
Mkuu, hayo ndiyo makosa mnayofanya wanaume wa siku hizi..

Ukigongewa achana naye oa mwingine....

Mwanaume hajaumbiwa kukaa mwenyewe, mtu mzima ukikaa mwenyewe unakaribisha matatizo...

Kama mwanamke anakupanda kichwani, piga chini oa mwingine...

Shida yenu mmefungwa kwenye minyonyoro ya dini, eti mke mmoja "till death do us apart"....
Kwanini uoe halafu uache? Uoe tena kisha uache, unaona ufahari kuachana na mwanamke?
Ndoa ya mke mmoja ndiyo nzuri. Wake wengi ni tamaa ya ngono tu
kuna dini zingine zinafundisha umalaya kuliko kutoa mafundisho yatakayokufanya udumu na mwanamke kwenye ndoa. Adamu alipewa mke mmoja tu, ila kwa tamaa za wanadamu wanataka kuoa wanawake wengi
 
Kwanini uoe halafu uache? Uoe tena kisha uache, unaona ufahari kuacha na mwanamke?
Ndoa ya mke mmoja ndiyo nzuri. Wake wengi ni tamaa ya ngono tu
Khee, wewe mwamba bado uko usingizini, amka amka amkaaaa..

Mababu zetu walikuwa wanaoa mpaka wanakufa.... Yani ilikuwa mke akizingua, anaoa tena hata kama ana miaka 90..

Na ndiyo siri ya wazee wa zamani kuishi miaka mingi.... Who told u kwamba uko restricted na mwanamke mmoja maisha yako yote? Hizo dini za wazungu? Kwani hauoni wao wazungu nowdays wanaoana kwa mikataba? Miaka kadhaa wanafunga mkataba wanahamia kwa wenza wengine.

Shida ya sisi waafrika tuko rigid kwenye kuchanganua mambo, yani tunakariri kila kitu tunacholetewa... Mpaka mila zetu tumeziacha sababu ya hao wageni...

ACHA KUISHI KWENYE KIFUNGO CHA WAZUNGU.
 
Billgate ana wanawake wangapi na watoto wangapi?
Pamoja na kuoa wanawake wengi umemshinda mzungu kimaendeleo? Walikuwa wanaoa wanawake wengi ila bado walikuwa wanalala kwenye ngozi za wanyama.
Elimu uliyosoma umetumia mtaala wa wazungu. Leo ukiongea kiingereza unaonekana wa maana sana. Hapo umejaza nyimbo na filamu za wazungu.
Kuoa wake wengi kwa wafrika ilikuwa ni kupata nguvu kazi, kupata watoto watakaolima, kuchunga mifugo n.k.
Mimi naamini ndoa nzuri ni ya mke mmoja tu. Hizo zingine ni tamaa ya ngono
 
Mwanamke ni Shamba. Shamba linihitaji inputs (pembejeo) ili likupe matokeo (results). Tunatoa pesa kwa sababu ndio kifaa pekee cha kurahisisha upatikaji wa huduma kwa sasa.

Mwanamke kiasili ni mpokeaji
Mwanaume kiasili ni mtoaji.

Kabla ya uwepo wa pesa , mwanaume pia ndio alikuwa na jukumu la kuwinda na kuokota matunda, Kisha mwanaume anapokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vizuri mno
 
Back
Top Bottom