Kama MTANZANIA Mzalendo

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mimi kama Mtanzania mzalendo naipa hongera CUF kwa kufanikiwa kuanika hadharani nia na lengo la kudai Katiba mpya ,hivi sasa sio siri tena Dunia nzima imeshapata habari,hivyo kiongozi mkuu yeyote wa serikali atakaesafiri kwenda nchi za nje ajue dai hilo atalikuta huko anakokwenda.

Hongera CUF kwa muongozo huo natumai wazalendo wengine wataungana na kuwa na sauti moja.
Kama mzalendo hai wa Taifa hili la Tanzania naipa hongera za dhati CUF bila ya kujali itikadi za Chama....................Je wewe Mtanzania uliebahatika kusoma au kusikia habari hii ?
 
Back
Top Bottom