Kama mpenzi wako anakoroma usingizini unajisikiaje?

Aaamke amshike kichwa chake taratibu na kumlaza vizuri katika style ambayo haiblock njia ya hewa! Kama kalala chali check kichwa chake na shingo vimekaaje, mrekebishe!
Kuna mtu hata alale vipi ananguruma tu! sometimes ananguruma hata akiwa macho! hapo hakuna ujanja ni operation tu. Ila niliona kuna watu wanaweka ka plaster across the nose ao anavaa nose plug. It is so cheap and so efficient, kama unaweza mconvince mpenzi wako kuitumia.
2258556.jpg radical-nose-plug.jpg 8-clear-nasal-plasters-stop-snoring-breathe-easier-118-p.jpg
 
kwani akijamba ushuzi unajisikiaje?

habari za leo wanajamvi, nimekua nikishuhudia kuwa wanaume wengi ndo wanaokoroma kuliko wanawake, je ni kweli? Nini sababu yake? Je kama demu/mkeo/mumeo anakoroma unajisikiaje? Maana nina jirani yangu tumetenganishwa na ukuta mumewe huwa namsikia anakoroma kama kuna mashine ya kusaga nafaka! Sijui huyo anaelalanae anajisikiaje inapotokea hana usingizi.
 
Aaamke amshike kichwa chake taratibu na kumlaza vizuri katika style ambayo haiblock njia ya hewa! Kama kalala chali check kichwa chake na shingo vimekaaje, mrekebishe!

i HAVE Admired you very much! Many many many many of us would have been furious..... you are a great woman! All of us should learn from you!
 
Mimi najua watu walio wanene kupitiliza ndio wanao koroma. Na si kukoroma tu nasikia wanaangaika sana usingizini. Hence dawa ya kuhacha kukoroma ni kupunguza weight. Kuna watu wanakoroma kama gari kwa hiyo kwa kweli ni kero kwa wenza wao.
 
mimi huwa nacheka na wayahudi siasa kali...Wao hawasex mpaka wanapotafuta mtoto..Na wakati wa sex,wanaweka shuka in between,linatobolewa tundukidogo kwa ajili ya kupitisha kitu kwenda kwa mama.....lolimani zingine kama wehu hivi lol
hahahahaha. .. . . Ebwana umenifanya nikawa google hawa wa2 na sheria zao! . . .dah!
 
Duh pole sana,jaribu kuonana na watu wa migodi huwa waakuaga na zile musk za masikio kama headphone atleast ikifika saa za kulala unatinga hizo hautasikia sauti yoyote toka nje hata kama ni radi
 
habari za leo wanajamvi, nimekua nikishuhudia kuwa wanaume wengi ndo wanaokoroma kuliko wanawake, je ni kweli? Nini sababu yake? Je kama demu/mkeo/mumeo anakoroma unajisikiaje? Maana nina jirani yangu tumetenganishwa na ukuta mumewe huwa namsikia anakoroma kama kuna mashine ya kusaga nafaka! Sijui huyo anaelalanae anajisikiaje inapotokea hana usingizi.
1. NA AKOROME TU HANA SHIDA.....AKICHOKA ATAACHA MWENYEWE.
2.UTUOMBE RADHI........WANAUME WALA HATUKOROMAGI...........Labdakidooooooogo sana.
3.WEWE BADALA YA KULALA UNASIKILIZA KWA JIRANI.....UTAJASIKILIZA VISIVYOSIKILIZWA,MECHI ZINGINE NI HATARI.
 
mimi huwa nacheka na wayahudi siasa kali...Wao hawasex mpaka wanapotafuta mtoto..Na wakati wa sex,wanaweka shuka in between,linatobolewa tundukidogo kwa ajili ya kupitisha kitu kwenda kwa mama.....lolimani zingine kama wehu hivi lol
Mhhhhh hii kali kuliko hata sred yenyewe kwi kwi kwi!
 
Wewe lala na bakora akikorama muwashe mbili hivi uone kama atarudia tena wengine wanafanya makusudi mimi nilitibu kwa njia hii....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom