Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,129
- 144,612
Yaliyomkuta Lowassa ni ajali ya kisiasa-Kikwete.
Huo mtihani.
acha mbwembwe, toa hoja za msingi mkuuu. Kumbe wengi hatujielewi tunaongozwa na matukio! JIFUNZE KUFAHAMU UKWELI NA USIFATE MKUMBO mkuuu
Prof kikwete hawezi kuthubutu kumuita hivo make anajua Lowasa hakula hata elf 1 ya richmond. Richmond ni zigo la kikwete fisadi nyangumi hapa tz.
politics ni strategy.......nina uhakika EL hata ishu ya richmond ameiweka kiporo tu.......siamin km yale maelezo ya dk 2 ndo utetezi wake.......i bet anawalia timing waanze wao wenyewe kujinyonga!!
Subr kampen zianze uone watu watakavyo mwaga ugali na nch itakavyo kuwa uchi trust me
Hio ni ndoto hawezi kabisa kumuita fisadi maana anajua siku atakayomuita hivyo ndo siri zote za ufisadi wake zitakua nje... Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo ndugu yangu kuna mengi sana yako chini ya carpet yamefichwa.Nafikiri EL si mjinga kukaa kimya akisubiri siku wajaribu kumwaga ugali , ndo na yeye atamwaga mboga na kurusha vyombo huko na kuzima jiko kabisa...
Nataka kusikia Rais wetu Kikwete kumaliza huu mnong'ono miongoni mwa watu kuwa Lowasa ni fisadi mara wengine si Fisadi.
Kwa kuwa kikwete ndiye mkuu wa Kaya atuambie Lowassa ni fisadi au si fisadi! Kama akisema ni fisadi hakika nampa kura yangu Magufuli.
Ahsanteni sana nawasilisha.
mgosi9
acha mbwembwe, toa hoja za msingi mkuuu. Kumbe wengi hatujielewi tunaongozwa na matukio! JIFUNZE KUFAHAMU UKWELI NA USIFATE MKUMBO mkuuu
Kama ngumi kapiga jicho!
Haruna Mwegeo sawa kabisa kaka yng. Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja.