Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

ivi nyie mnajua adhabu ya uhaini??nyie mpeni kichwa tu uyo zitto mtamponza.
do you known the definitions?
Do want to say this is an lawful "uhaini"?By adhering to all the law and procedure to impeachment.
Come with the definitions please ..uhaini ni nini na impeachment ni nini ,then uendelee na swali lako au madai yako


 
Kama kweli hawa wabunge ni wazalendo na wana uchungu na nchi watoe support juu ya hili
Wabunge jamani tunahitaji signatory zenu huyu Mizengo Pinda yuko very useless
Waziri gani asiye na maamuzi
Natamani ingekuwa inapita kwa wananchi ili tuweke signatory zetu.
 
wabunge wa ccm hawatapiga kura kwani waliowengi ni waoga.na huu uoga ndio unalicost taifa letu mfano m2 anafanya makosa ya wazi kabisa lakini wanaogopa kumwajibisha
 
do you known the definitions?
Do want to say this is an lawful "uhaini"?By adhering to all the law and procedure to impeachment.
Come with the definitions please ..uhaini ni nini na impeachment ni nini ,then uendelee na swali lako au madai yako



Mkuu nawe kwa lugha ya malkia upo juu sana aisee! Tehe!
 
PM anapaswa kuwajibika kwa makosa makubwa mawili;
1. Kushindwa kumshauri rais vyema
2. Kushindwa kuchukua hatua kwa mawaziri walio chini yake hata pale inapothibitika wamefanya madudu ya aibu
 
Kupata kura 70 si kazi kwani kwa hesabu zet tayri kuna kura 48, kazi ipo kwenye kupata kura 22.
CCM hata wasipotoa kura hizi bado wabunge wengine wa upinzani (CUF,UDP, TLP na NCCR wanazidi idani hiyo. Sasa issue ni mkakati wa kuwashawishi hao kwani kambi ya Upinzani haina ushirikiano.

Cha msingi ni wananchi kuwashinikiza wabunge wao kupitia njia za mawasiliano zilizopo, na wapigakura wake wafuatilie kuona kama aliwasikiliza kwani watakaounga hoja hii Mkono tutawajua kwa majina.
Tatizo nilionalo mimi ni ile 51% ya kura kama hoja ikipitishwa. Hata hivyo wakulaumiwa ni watanzania, kwani wao ndio waliowachagua wabunge wengi wa CCM, na hili litakuwa ni fundisho tosha

Ninashukuru Mungu, wabunge wengi wameweka maslahi ya vyama vyao nyuma na ya UMMA mbele hivyo wanaunga Mkono hoja ya Zitto kwa kuweka sahihi zao. Habari zilizothibitishwa na Zitto mwenyewe zinasema, wabunge wa CDM, CUF, na NCCR wanaendelea kuweka Sahih zaoi. The history is in the making people.

Keep the fire burning Zitto. Nail em UP
 
Jana niliangalia bunge ilikua kwa bahati mbaya wkt nakunywa chai,nikajikuta nimekaa dk 20 bila hata kuitazama chai! Nchii hii! Eti korosho zinapelekwa India kubabuliwa hapa viwanda vimefungwa! Wahindi kule wanapata Ajira,lakini Mafuta toka maganda ya korosho,ATCL hoi! Ndege imekodiwa miezi 8 imeruka miez kama 2,deni lake linatosha kununua Airbus mpya kabisa 2 na chenji inabaki,nenda kwenye ubathilifu wa fedha huko ndio balaa! Ngoja niwape statistics kdg
UBADHILIFU WA FEDHA
W.Afya 1.10 billion
Mamilioni ya KK 21 billion
Ukwepaji kodi 15.4 billion
W. Maliasili&Utalii 874.9 milion
Magari ya Serikari 5.0 trilion
Shirika la viwango $ 18.3 milion
Mishahara hewa 1.8 billion
TANESCO 600 billion
Bodi ya pamba 2.0 billion
Ununuzi tata 8 billion
Kiwanja CHC 1.3 billion
Idara ya mhasibu 49 billion
Udhamini wa serikari 3 trilion
Matokeo ya haya ndio hali mbaya kwa mtanzania,vyakura kupanda bei.hari ngumu ya maisha. Mi nafikiri kwa hizo hela kama zingefanya kazi,Tz could have almost like SA kwa Zuma. Niliumia sana. Ila nikafurahi sana Mh Tundu Lissu alipotoa What to be taken maana wengi walilalama lkn sikuona solution. Vote of no Confidence YES. Watu kama hawa kweli namnukuu Mh Masele," NI KAMA MTU AENDAE USIKU KUWEKA SUMU KATIKA MTO ILI KESHO WATAKAO KUJA KUCHOTA MAJI WANYWE WAFE". Period.
 
Back
Top Bottom