Kama kweli basi miye nimekuja kuwaaga!

wote siku zetu zinahesabika na hakuna atakaeishi milele hapa duniani........ kama umezaliwa utakufa!!!!!!!!!
 
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona mwanga wa gari yule aliyekuwa juu katoka nduki wa kike kabung'aa kisha naye katoka nduki. Nikawapa story rafiki zangu hapa ofisini wakanambia eti siku zangu si nyingi! Dah nimechoka kwelikweli. Hivi n i kweli ama ULIKUWA UMALAYA WA HAWA PAKA? Na haiwezekani na wao wameanza kukosa maadili?
Nianze kuaga nini?
IMANI YA KISHIRIKINA HIYO hao waliokwambia hivyo kuna siku watakupeleka kwa shehe yahya ukaongeze siku za kuishi.hauna kitu kama hicho maisha yako yako kwenye ulimi wako kili sitakufa na utaishi kama unavyojinenea atiii
 
Ukifika Mwambie sir God kilichosababisha ufike mapema kabla ya siku alizokupangia yeye....Pia mwambie sisi huku (ambao hatujaona paka...) tunateseka amtume Hata Eliya atuokoe

Nitamwambia ndugu. Niko hapa nasubiri tu sijui ni leo! Lakini nafanya kazi kwa bidii kwelikweli.
 
house-cat-sex-mating.jpg
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe umalaya wao tuu.
 
1.Maneno utamkaYo Yaweza tokea kama ulivyotamka. Mungu aliumba dunia kwa kutamka tu.KUNA NGUVU YA AJABU ndani ya tunacho sema na kuamini
2.Imani pia hutenda mambo makuu
3.Ukiamini 100%,na kisha kutamka kwa dhati 100% kuwa tutakufa kwa vile tumeona PAKA....usione ajabu yakatokea sambamba na imani yetu
4.Ili imani na tamko lifanye kazi ni sharti pawe na ukamilifu wa 100%
5. Yule jamaa (wa kwenye biblia)alikuwa na imani 100% kuwa nae anaweza kutembea kama yesu juu ya maji. lakini baada ya hatua chache imani ile ikapungua .....labda ikawa 99% hapo hapo akaanza kuzama.
6. Imani yako haijafika 100%, ukweli kuwa unawauliza watu kuwa itatokea ukafa au la ni dalili kuwa upo 50%....kama imani ya 99% haiwezi kutenda kazi je hiyo ya kwako ndogo????
kwa ajili hiyo uwe na na amani mpendwa, kwa uchache wa imani yako juu ya mambo hayo(paka....) imekusaidia HAKUNA BAYA LOLOTE LITAKALO KUKUTA.
NIMEYAANDIKA HAYA NIKITEGEMEA ULIKUWA HUNA LENGO LA KUFURAHISHA BARAZA TU.
 
hilom lilikuwa ni fumbo la kukukumbusha kuwa CHICHIEMU ndio wameshajimaliza kabisa,ili mjiandae kuwaaga..:bowl::nono::doh::tape::smile-big:
 
mhh!! nakumbuka kipindi kile nipo highschool boys mji kasoro bahari ... weekend flani nilienda disco dakawa high.. nilikutana na mdudu flani hivi kama nyoka ..msela wangu akaniambia hiko ni kistia mkulima .. usimuue utapata nuksi, mi nikaleta ubishi nikamtwanga JIWE. jioni narudi zangu skonga mzumbe.. nipo dorm from no where akatokea nyoka "si mkubwa" lakini nyoka mweusi alikuwa keshapanda makanyagioni washkaji walifanya kunistua "NYOKA HUYOO" .. frm tht day !! hizi vitu vinavyosemwasemwa huwa nafkiria mara mbili..
ila sikutishi mkuu .. hamna kitu kama hiyo.. connection ya wewe kumuona paka na kifo! :nono:
 
Tuache imani potofu kitu ninacho jua ni You will always according to what you believe. Ukiamini kwamba utakufa ni kweli utaishi kuelekea kufa hivi karibuni na hatimae utakufa Be WISE......:rip:
 
Back
Top Bottom