Kama hutaki ntahamia kwake

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
667
Sikujua kaoa mke mshamba asiyejua U...me wala mapenzi. Usiku wa ndoa, mke
kamuuliza mume "hiki ni nini?" Bwana kajibu,"yaitwa pombo.....pombo ya
u..me. Ninayo mimi pekee duniani. Sikujua kasafiri. Kurundi, mke
kamuuliza, "mbona jirani Sijali pia anayo pombo?" Sikujua akajua Sijali
ashatembea na mkewe,akasema, "nilikua na mbili, nikampa moja". Mke
kasema, "iweje
umpe kubwa nzuri na tamu ubaki na kipisi? Nenda kachukue hiyo umpe
yako na kama hutaki, nahamia kwake!".......
 
Mchagga alinunua mbuzi! Akamwambia mpishi; Nyama nusu ipikie pilau na
nyingine itie kwenye friza! Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi
chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na
mifupa tutawauzia wenye mbwa! Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani

Mpishi akamuuliza : Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye
simu yako?
 
Nice

Japo ilishawahi kuwekwa hapa. Ni marudio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom