kastizo zoo
Member
- Sep 12, 2012
- 51
- 2
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.
Ebwana huo ni ushaur mzur sna hasa kwa cc 2naoenda kuanza mwaka wa kwanza!BIG UP