Kama huna dem chuo.Itakula kwako

KAUZUDAGAA

Member
Sep 24, 2012
36
4
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.
 
Ushauri mzuri sana huu dili kupigamsuli mademu wanataka pesa pesa yenyewe 225,000/-
 
ha!ha!ha! usipopata dem chuon utakuja kupata wap tena kaka? ukianza kazi unakuta madem wote kazin wanamausiano na watu zao tangu vyuon, taratibu kaka kazi na dawa hiki chuo sio secondary ata maprofeseee wanakushauri ukiwa na dem ndo shule inapanda kinoma noma poleeeee ehe
 
Ukipata mpenzi mwenye akili za kuzaliwa + za Elimu yake, chuo utafaidi balaa, utaona raha mchana na usiku, afu awe anaudhuria mazoezini kwa wakati wee! kocha ujasema, mchezaji huyu! yani masomo ni easy na kila siku ni safi yaani fresh, Muulize dani mimamo maana ya siku nzuri. namithi chuo miye
 
ha!ha!ha! Usipopata dem chuon utakuja kupata wap tena kaka?( ukianza kazi unakuta madem wote kazin wanamausiano na watu zao tangu vyuon), taratibu kaka kazi na dawa hiki chuo sio secondary ata maprofeseee wanakushauri ukiwa na dem ndo shule inapanda kinoma noma poleeeee ehe
1000,000,000,000 kb hapo mkuu umenifurahisha sanaaaaaa
 
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.

vipi ndugu, unaka-experience na vibuti nini?
 
Back
Top Bottom