NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Siku hizi kwa kina dada esp. maduu wamesahau kiswahili kabisa na baadhi yao hata hawajawahi kusafiri na kufika Nairobi achania mbali USA/EURO kwa mfano ukikutana na mdada mlimani city ukamuuliza kitu labda sehemu flani ni wapi? .... utasikia nafikiri(itakavyo tamkwa burudani tosha) keep right then ask s/body utakayemwona ila walikagakumove to new place i think wapo karibu(itakavyo tamkwa burudani tosha).
Ukimkuta ulievutiwa naye ukute unataka kumfahamu zaidi ataangusha swagger la kufa mtu, am busy right now labda na na nazani u-u-ngechukuwa or Y cant I get ur no. na na na nita I mean will call u right back nikiwa free, nafikiri itakuwa pouwa... is that ok with u? Maneno ni yakutafutaaaa mpaka anakata stimu. Ukimkuta aliyesoma ST. MAMA YETU ZILE ndio balaa kabisa.
Na wewe usipochangia kwa kutupa neno 1/2 ya kidhungu ushamkosa mtu baada ya miaka 5 ......sijui?