Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Siku hizi kwa kina dada esp. maduu wamesahau kiswahili kabisa na baadhi yao hata hawajawahi kusafiri na kufika Nairobi achania mbali USA/EURO kwa mfano ukikutana na mdada mlimani city ukamuuliza kitu labda sehemu flani ni wapi? .... utasikia nafikiri(itakavyo tamkwa burudani tosha) keep right then ask s/body utakayemwona ila walikagakumove to new place i think wapo karibu(itakavyo tamkwa burudani tosha).

Ukimkuta ulievutiwa naye ukute unataka kumfahamu zaidi ataangusha swagger la kufa mtu, am busy right now labda na na nazani u-u-ngechukuwa or Y cant I get ur no. na na na nita I mean will call u right back nikiwa free, nafikiri itakuwa pouwa... is that ok with u? Maneno ni yakutafutaaaa mpaka anakata stimu. Ukimkuta aliyesoma ST. MAMA YETU ZILE ndio balaa kabisa.

Na wewe usipochangia kwa kutupa neno 1/2 ya kidhungu ushamkosa mtu baada ya miaka 5 ......sijui?
 
hahahah...ndio maana inglishi kozi ni dili sana siku izi!LOL!!Ziko hadi za chini ya muti.

Nitahakikisha mwanangu wa kiume anasoma English Medium....ataumbuka na st. Halmashauri tulizosoma sisi wazazi. Maofifini ndio balaa kabisa mpaka siku niliwahi kuuliza hivi dada kakulia nje nini? niaambiwa aah wapi? Kakulia Bukoba tena ndani kbs sema alisoma 5/6 st. Mama yetu yule.
 
hehhee...this is very serious! sasa dawa ya mtu kama uyo unamwangushia cha kikweli kweli afu mwenyewe atapoa kisha mrudi Pugu road! LOL...

kwa wanini wanakidhalilisha kiswahili hivi!

Ni kama hawa wasaidizi wetu wa ndani, utakuta anafatilia sijui SOAP zote na anaelewa lakini najiuliza icho ki english ndo vile ama?
 
Nitahakikisha mwanangu wa kiume anasoma English Medium....ataumbuka na st. Halmashauri tulizosoma sisi wazazi. Maofifini ndio balaa kabisa mpaka siku niliwahi kuuliza hivi dada kakulia nje nini? niaambiwa aah wapi? Kakulia Bukoba tena ndani kbs sema alisoma 5/6 st. Mama yetu yule.

Yeah! I knoo woraya seeeying man! Where is our mavokabulary man br?
 
Embu imagine kwa mfano uliye mrefer hapo angekuwa mwanamke ndio unataka kumtokea........? angekuwa anakutukana hata hujui.
 
Nyie mnakosea, demu ni kumpa tabasamu la nguvu na kuwa kind kwake! Lugha ya mapenzi haipo kule kwetu usukumani ni nguvu zako tu! chagulaga!
 
Jamani haya mambo ya Kiblurei,mbona safi tu.Sasa asipoongea atajifunza sangapi? Au mnataka wawe kama kanumba halafu muanze kucheka na kukejeli.Mwalimu wangu wa english kozi alisema ukitaka kujifunza english vizuri usione aibu kuongea hata kama nitaongea broken,sasa hapa tatizo lipo wapi enyi wanadamu?
 
demu yoyote yule ni HELA TU!,ANKARA,MKWANJA,CHAPAA.hata awe nani sijui unaua kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Fyuuuuuuuup..!, mnaooa na kuolewa leo mna kazi kweli..
Bora mie nilieoa wakati huo, hata Mobitel haijaanza. Tulitongozana uso kwa uso tu na Mama Chausiku, tukamaliza gemu..hakuna cha kukutania supamaketi kutiana gharama...hhuh!

Sa kama ndo wewe umempigia si itakula kwako mazima!..
Mtu aanze kujishaua...eeeer......you know ...you know...wapi na wapi bana...
 
Siku hizi kwa kina dada esp. maduu wamesahau kiswahili kabisa na baadhi yao hata hawajawahi kusafiri na kufika Nairobi achania mbali USA/EURO kwa mfano ukikutana na mdada mlimani city ukamuuliza kitu labda sehemu flani ni wapi? .... utasikia nafikiri(itakavyo tamkwa burudani tosha) keep right then ask s/body utakayemwona ila walikagakumove to new place i think wapo karibu(itakavyo tamkwa burudani tosha).

Ukimkuta ulievutiwa naye ukute unataka kumfahamu zaidi ataangusha swagger la kufa mtu, am busy right now labda na na nazani u-u-ngechukuwa or Y cant I get ur no. na na na nita I mean will call u right back nikiwa free, nafikiri itakuwa pouwa... is that ok with u? Maneno ni yakutafutaaaa mpaka anakata stimu. Ukimkuta aliyesoma ST. MAMA YETU ZILE ndio balaa kabisa.

Na wewe usipochangia kwa kutupa neno 1/2 ya kidhungu ushamkosa mtu baada ya miaka 5 ......sijui?

Dawa yao ndogo sana.....Bluray, akiwachapa livocabulaty limoja tu chaliiiiiiiiiiiiii......hahaaaa!
 
Unajua mademu wanapenda sana kujipandisha chati, hiyo ni njia moja wapo aliyekwenda shule lazima akikutana na kidume kinataka ulizia bei lazima apige ngeli ili kukutambulisha kwamba yeye si mlugaluga darasa kaliona au hata ile gia yao kaja juzi toka kiwanja ikunase sawa sawa, au yeye si mbongo akipiga ngeli na ulimi akiupinda kidogo utasema kaja jana toka UK. wa uswazi wa wanajindisha chati na MIKOROGO na ukimuuliza unakaa wapi utasikia MIKOCHENI, MASAKI, MBEZI au SINZA wakati kumbe kwao mwananyamala kwa kopa hahahahaha, dada zetu bana hadi RAHA huwa nawa enjoy sana pale Mlimani City, na siku hizi ukiwapata hao wa st mama nani hii date ya kwanza kama si M City, km town utasikia steers, mwingine utasikia ntakuwa Kempinski kuanzia saa moja usiku ilimradi wakuchune tuu
 
Mkuu umeuwaa, ha ha ha ha te te te, wengi wao hawasemi ukweli. Sijui kwa nini unakuta mtu anapoteza bahati hivivi halafu wanakimbilia kanisani mikesha kuomba wachumba.
 
Mi wananikera zaidi na haya mafegi wanayopiga, ukiingia club karibu kila binti ni smoker, nani kawadanganya sigara zinawaongezea ujiko!
 
Nimekumbuka dada mmoja mwingereza nilimtokea. Ilikuwa raha sana kumtongoza "kiswahili" kwa kutumia English! Si unajua maneno yetu ya kihuni? Alibaki kusema "I am flattered!".
 
Mkuu umeuwaa, ha ha ha ha te te te, wengi wao hawasemi ukweli. Sijui kwa nini unakuta mtu anapoteza bahati hivivi halafu wanakimbilia kanisani mikesha kuomba wachumba.

Unajua Nguli wengi wana kasumba kwamba hizo sehemu ukitoka au ukiishi huko wewe kama ni mwanamke au mwanaume basi unakuwa expensive au unakuwa na heshima zaidi, km mwanamke mwanamme atakupapatikia au kama ni mwanaume ukisema natoka hizo sehemu basi utawamega kwa sana tuu, tehe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom