Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

katka pita pita zangu one day niliwahi kunasa kwa mtoto mmoja, tulipoanza kuongea tu nilichoka mwenyewe, kingeredha mtoto analonga kama nini, halafu kingi ni kile kilichovunjka (broken)!
akadhani mi ni mlugaluga nikamshushia cha ukweli mara akaanza, sor! were u born in tanzania?!
wengi wanazingua sana, na ukikutana na wa aina hii kuwapata huwa ni rahisi sana just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity!!!
 
hahahahhaha Nguli umenichekesha sana dah hatari mie kuna sister mmoja mpaka nikajua katoka kwa Mwaiki Baki pale kumbe hahah
 
Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!

Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.

Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!

Money rules guys!!!
 
katka pita pita zangu one day niliwahi kunasa kwa mtoto mmoja, tulipoanza kuongea tu nilichoka mwenyewe, kingeredha mtoto analonga kama nini, halafu kingi ni kile kilichovunjka (broken)!
akadhani mi ni mlugaluga nikamshushia cha ukweli mara akaanza, sor! were u born in tanzania?!
wengi wanazingua sana, na ukikutana na wa aina hii kuwapata huwa ni rahisi sana just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity!!!

hahah jamani mie leo nacheka tu mnanifurahisha wana JF edson acha vituko
 
Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!

Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.

Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!

Money rules guys!!!

watu mna mambo umeambiwa hata kilugha unaongea
kumbe ni money talks
 
Na msubirie hiyo geti tugeza au mikumi,ni brokeni kwa kwenda mbele.hata mkicheka mie simaindi as long as nimeibamba intaneshino lagweji ya kwa obama.(nina mpango wa kwenda kubeba boksi kwa hiyo ni maandalizi)
 
jamani english kozi hyo ipo juu sana kwa sasa, kwani kuna jamaa mmoja alishawahi kufanya interview na ID card wakati wengine walikuwa na vyeti vizuri tu, lakini cha ajabu alikuwa selected wa kwanza akawaacha hata waliokuwa na vyeti vyao, kwa hiyo ebu tujitahidi kuongea english, hii ndo maana hata huyo dada alikuwa anajifunza kuongea hicho kiingereza,
 
Kama hutojali shemeji yeye alivyokuja wewe ulimpa pozi gani? au ni hilo jicho tu lilimaliza kila kitu?

hahaha hakuwa na haja hiyo kwani nilipomuona tu nikajua huyo ndo a man of ma dream wala sikuwa na haja ya kutema ngeri ikaenda ikarudi sijui present + past tense no ilikuwa tambarare tu
 
Hahaha! Kwa hiyo alivyorusha kombora, hapo hapo akakubaliwa na mambo ya kutesti kama ni mtambo au kabamia yakaanza? Hapa najua siwezi gongewa senksi. Najua kabisa! Labda baadhi ya wapwa.
 
demu yoyote yule ni HELA TU!,ANKARA,MKWANJA,CHAPAA.hata awe nani sijui unaua kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

yaani Geoff kwa ku generolaiz tu nimekuvulia kofia, ...wapo wanawake ambao wana pesa zao, yaani wakichagua mtu wanaangalia mambo mengine beyond ankara kwa sababu kwenye wallet zao ankara sio tatizo, kama kidume ana sifa wanazohitaji wala hawafanyi hiyana, mambo ya kufulia wanamrekebishia chap chap
 
kwenye kutongaza huitaji sana kujua lugha, always heart speek fisrt.
 
Nimecheka sana, ila kweli Dar socialites lingo inaweza kukuwacha mataani, si kwa mabrazameni wala masistaduu.
 
Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!

Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.

Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!

Money rules guys!!!

duh..mkuu hapo tunaita ni mapinduzi yasaiyokuwa na umwagaji damu! usipoangalia hata hapa unaweza kupindua kama ukiendelea kuspend ki ivyo (Ila walio hapa ni matajiri hawatishiki na fweza za rasha rasha LOL)
 
Back
Top Bottom