Kama huhusiki na hiphop usije hapa

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........


Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???



A & B.jpg
 
Mtu kama Godzila ni zaidi ya m'bana pia coz ni sucker emcee anacopy kutoka kwa 50 cent anapaste kwake.

Hip hop ni pana sana hailingani na uzito wake kuwekwa kwenye heading yenye content izo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

50 Cent anafanya aina gani ya mziki?
 
Roma,Kala,Stamina.Wapo juu ya hayo makundi ulioweka hapo.Hip Hop ni maisha halisi
Hapo umenena watu wanawapiga majungu sababu wanafakiwa alafu watanzania sisi ni watu wa ajabu mf; prof jay alikua anaimba HIP HOP ya zaman wakasema wasanii wazaman hawabadiliki , alipoimba kamilikado wakaanza tena kuongoa kila mtu yake, KALA aliimba miss u.g wakaanza kuongea sijui sikuizi kaacha harakat anaimba mapenzi, ROMA SASA wanasema anaimba siasa anaunganisha vichwa vya habar siku akimuumbia dem wake utawasiki tu povu likiwatoka, HIP HOP sio mziki wa kitanzania tumecopy toka amerika sasa hata kama tumekopy lazima tuirelate na maisha yetu ya kitanzania sio kila kitu kilichopo kwenye HIP HOP ya kimarekan ndo ukilete kwenye jamii ya kitanzania for sure utakua hueleweki, au utakua unaimba unasifiwa na MARAFIKI ZAKO GETTO WE MKALI lakini hata pesa ya kuchonga kitanda hautaipata, watu wanajifanya wanaijua HIP HOP kama waanzilishi kumbe wasoma tu kwenye goolge vingine hawaeelew wala
 
vunja kundi uweke stamina,roma na kala pamoja wengine wabana pua otherwise siwezi hudhuria ata show moja ikiwa makundi ndio hayo.
 
Roma,Kala,Stamina.Wapo juu ya hayo makundi ulioweka hapo.Hip Hop ni maisha halisi

"NINA MISTARI MIKALI HADI LWANDA ANANIONEA GERE"

"MUZIKI NIMEUANZA KALE HADI LEO SIJAITWA PEPE"

"NINA MISTARI MIKALI HADI GEORGE ANARUDI BUSH"

"BONGO INA JUA LA UTOSI HADI JUMA ANAKOSA NATURE"


***Hiyo ndo mistari kwenzi ya STAMINA buana....!!!
 
Kwenye hayo makundi, wana hip hop awazidi wawili hao wengine ni maraper,kwa hiyo kichwa cha habari kingekuwa, kwa mashabiki wa Rap!
 
kundi A stamina nickis wanaua
Bujibuji na Kipaji Halisi mkuje huku

Ni kweli anawaua,kwa hii mistari tu lazima wafe;

"NINA MISTARI MIKALI HADI LWANDA ANANIONEA GERE"

"MUZIKI NIMEUANZA KALE HADI LEO SIJAITWA PEPE"

"NINA MISTARI MIKALI HADI GEORGE ANARUDI BUSH"

"BONGO INA JUA LA UTOSI HADI JUMA ANAKOSA NATURE"
 
uchafu tu. Nilidhani hip hop kumbe wabana pua

Yaan hata mimi nilivyosoma heading nikajua Mkare_wenu leo kakumbuka HipHop, nilitegemea nikutane na sura za akina Scar Face, wakina E-40, Dr Dre, Luda, Big Pun, NAS, Too Short, Eric B, Queen Latifa, Eazy E, 2Pac na Legends wengine lakini badala yake nakutana na wabana pua tu! Nadhani tatizo ni mtoto wa jana, amezaliwa wakati hiphop imeingiliwa, nina uhakika hajawahi hata kuwasikia Brand Nubian, Three 6 Mafia, Naughty By Nature, The LOX, Bone Thug, De La Soul, Wu Tang na wakali wengine wa HIP-HOP!
This is just disgusting, ebu wacha nifungulie Keep ya heads ringing nipunguze machungu!
Ah nmekumbuka ngoma lingine la GZA, Liquid Swords
Knowledge this wisdom this goes back when I was twelve
I loved doing right but I was trapped in hell
Had mad ideas, sad eyes and tears
Years of fears, but yo my foes couldn't bear
I searched for the truth since my youth
And went to church since birth, but it wasn't worth the loot
that I was paying, plus the praying
I didn't like staying cuz of busy-bodies and dizzy hotties
That the preacher had souped up with lies
Had me cooped up lookin at loot, butt, and thighs
Durin the service, he swallowed up the poor
And after they heard this, they wallowed on the floor
But I ignored, and explored my history that was untold
And watched mysteries unfold
And dropped a jewel like Solomon, but never followed men
cause if you do your brain is more hollow than
Space oblivia, or the abyss
With no trace of trivia, left with the hiss
Does it pay to be deaf, dumb and blind?
From a slave we was kept from the mind
And from the caves he crept from behind
And what he gave, was the sect of the swine
When the bible, it condemned the pig
I don't mean to pull your hems or flip your qigs
But we used to wear a turban, but now we're in the urban
No more wearing beanies and dress like a genie
No hocus pocus cause I focus on the facts
And put it on the tracks and brought it through the wax
I speak on Jacob, it might take up some time
And too much knowledge, it might break up the rhyme
I did it anyway just to wake up the mind
of those who kiss stones or prays on the carpet
Those who sit home, or sell books by the market
Need to chill and get their mind revived
For years religion did nothing but divide
The basic instructions before leaving earth

GZAGenius+GZA.png




































krs-one-02.jpg




















NOW THATS HIP-HOP, BOYS!
 
"flow haipas by pass mabisho,24 hainas timetracks ya b4"(aka baba malcom).kundi A full conscious man,bt stamina tupa kule!
 
Back
Top Bottom