Kama hali ni Hii Arumeru CCM basi

Yule jamaa anajua mpaka katibu kata wa thika Kenya, sio hapa Tz.
Yaani watu wanapumbazika kumpigia mtu kura ambae hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kura kwani hajaandikishwa, wako serious kweli??
Mtu anakuambia ukinichagua nitafanya hiki na kile, kama kweli una uchungu ungetuambia kwanza wakati baba yako ni mbunge, mbona halishindwa kuyafanya?? Au ulimshauri nini cha maendeleo ambacho wana-Arumeru wanajivunia.
Otherwise hakuna ambacho utaahidi kipya wakati baba yako alishindwa kukifanya.
Pia nadhani ni wakati wa Katiba mpya kutaka kua kila mtu sasa ajipigie kampeni mwenyewe ili tuwapate wenye uwezo wa kujieleza wenyewe, kuliko kutegemea mipasho na matusi ya Mwigulu ili kushinda.
 
wana arumeru chagueni ccm mambo ya ufundi wa kuongea kama mkutano wa injili itawasaidia nn? Chagueni chama chenye dollar ambacho kinaweza kutekeleza mahitaji yenu kwa wakati kuweni wajanja ishara ya kijani ni njema sana kwenu kama hamtambui hilo tambueni hvy na tarehe 1-4-2012 chagua siyoi kuwa mbunge wako
Kalale wewe,kwanza kapige mswaki ndo ukalale
 
wana arumeru chagueni ccm mambo ya ufundi wa kuongea kama mkutano wa injili itawasaidia nn? Chagueni chama chenye dollar ambacho kinaweza kutekeleza mahitaji yenu kwa wakati kuweni wajanja ishara ya kijani ni njema sana kwenu kama hamtambui hilo tambueni hvy na tarehe 1-4-2012 chagua siyoi kuwa mbunge wako
Uko sawa mkuu, kwenye karne hii bado unashabikia marehemu ccm? Haujui madhara ya kuchagua ccm? Umelishwa nini ndg yangu kuwa mjinga kiasi hicho? Na bado unashawishi wengine wachague marehemu ccm,? Hauoni madhara ya uwepo wa ccm kwa taifa au bado unaota? Hauoni ubaya wa kuwa na wabunge wasioweza kujenga hoja hata kuona kwenye tv? Nakusikitikia...wenzio walijiaminisha hivyo kwa kanu kule kenya. Waliambiwa inaondoka hiyo kwa kuwa walikuwa wamelewa kanu hawakuamini
 
Eti chama chenye dora kinatekeleza, si wasingekuwa na la kusema manaake matendo huongea zaidi ya maneno au ndio wanakaribia kutekeleza?
 
Hakika maneno kama haya na yale yasemayo kuwa "mkimchagua mwingine tutachelewesha chelewesha maendeleo" ni mtaji kwa wapinzani wao.

Hivi kwa nini kabla watu hawajaongea wasipime athari zijazo tokana na kauli zao kwa kile wanachokikusudia kwa nini mwenye akili asiseme kuwa wanafanya makusudi iwe hivyo?
 
Atakuwa aliandikiwa desa na majimarefu au Lusinde wamemlisha kasa. Naskia jamaa huwa anaandikiwa usiku mambo ya kuzungumza kesho yake ili akalili usiku kucha na kugandamizia ndumu (bangi) asubuhi ili apate stimu ya kupandia jukwaani. Akipata ubunge huyo jamaa hadhi ya kuwa mbunge nchi hii itashuka sana

Huyu jamaa milaa imemharibu, hajui kitu sasa ona anaongozwa na Kibajaji, na yule mganga wa kienyeji ongezea yule mshikwa ugoni unategemea nini?

 
tatzo ni kwamba hao wanaotetea ccm watakuja kuamka wakati kumekucha
 
ndugu yangu wakuti usitoe hoja kama hujui unacho waza,ujenge hoja nasio ushabiki usio kuwa na Tija,huu wakati si wakushabikia kama simba na yanga,hoja ya msingi ni kwamba CCM kama chama tawala kinatupeleka wapi?ifike mahali tusiwe shabiki wa vyama tu huu ni ujinga na ni ubwanyenye,tuangalie kuwa serikali iliyopo madarakani inawasaidieje wananchi,ukweli ni kwamba serikali yetu inatupeleka kuzimu na kama tuko ndani ya boti basi hilo boti lina zama, tajiri kalala mafisadi wameamka,watu tunaishi maisha yasiyo eleweka kama kesha kutakucha,ifike mahali tuoneane huruma jamani!hv wee tajiri utalala mpaka lini maisha ya wanachi wako ni magumu kila kona hv wewe unafurahia kweli unako tupeleka,mm sio shabiki wa vyama lakini napata taabu is some thing paradox my life style.nafikiri watanzania tumelishwa libwata kali sana. basi Mh tumwachie Mungu,wasije wakanipeleka
india

Napenda sana watu wazalendo kama wewe, uzalendo ni kutetea masilahi ya umma kwa matakabari wa kujenga maisha endelevu yenye ustawi kwa walio wengi.Mdau wangu kuna watanzania wanafurahia kupewa visent kuropoka na ketetea maisha mabaya ya watanzania walio wengi wanaoteseka bila kupata utetezi wa serikali yao kisa chama dume(CCM) limeshika dola.Ni ukweli usiopingika, maisha ya watanzania walio wengi ni mabovu mno kwa sababu ya huduma za kijamii kutokuendelezwa kama maji, afya, elimu ,nk .Na pia usitawi mdogo wa uchumi wa kinadharia kwa kumbukumbu duni zisizo za kweli kuwa," unakua, huku kila kucha ajira inazidi kuwa bomu linalosubiriwa kulipuka wakati wowote, hasa kwa vijana. Sekta muhumu kutochangia uchumi , viongozi kukosa ubunifu wa kutatua kero za wananchi.na mara nyingi blabla zimekuwa zikitumiwa kama hoja za msingi.jamani wantazania tunatakiwa tufikie mahali tuone uchungu wa sera na uongozi mbovu ,tuache kutetea ccm, huku wananchi wa kiteseka.Kuna majirani zetu wanafanya vizuri sana kukuza uchumi na kujenga maisha ya wananchi wao ,Tufanye hivyo na sisi.CCM isiwe msingi wa ujinga na haki ya maisha ya watanzania
 
CCm itaendelea kuwa juu tu. Tanzania hakuna chama cha siasa hata kimoja vyote ni vyama vya harakati na kutangaza harakati badala ya sera. CCM oyeeeeeeeeeee!

Oyeee Chama Cha Malayas.. Oyee
 
Naomba kuuliza kama ccm leo hawakuwa na mkutano wa kampeni!walioangalia itv watakubaliana na mimi kwamba taarifa ya jana ilirudiwa.
 
Mimi yangu macho n'a uzima kwani ccm awatatoboa iwapo 2015 watakapo rekebisha daftari la wapiga kura, kunao vijana ambao wameona madudu ya serikali n'a wao wanaitaji mabadiliko!
 
Back
Top Bottom