Kama bunge lilitaka kumu-impeach Mwinyi, kwanini lisifanye hivyo kwa Kikwete

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Rais Jakaya Kikwete amekuwa akitajwa kuwa nyuma ya kashfa kama vile IPTL EPA na sasa Richmond-Dowans. Kikwete ni rais ajali ya kihistoria kwa taifa na hatari kwa mstakabali wake. Kwanini bunge lisimtimulie mbali kama Lowassa? Naleta hoja.
 
una ushaidi au umeskia ya hayo yote.kukurupuka si vizuri ndiyo yatakuja tokea ya lowasa kumbe ushaid hakuna
 
Rais Jakaya Kikwete amekuwa akitajwa kuwa nyuma ya kashfa kama vile IPTL EPA na sasa Richmond-Dowans. Kikwete ni rais ajali ya kihistoria kwa taifa na hatari kwa mstakabali wake. Kwanini bunge lisimtimulie mbali kama Lowassa? Naleta hoja.
Vipi mkuu au na wewe fyekeo la posho limekukumba.
 
Back
Top Bottom