hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Hahah1,3,4,7,9,10 sitakuja kusahau ndio zilikuwa sifa za girlfriend wangu wa kwanza,alikuwa mpare aisee alikuja kunikata wenge vibaya mno...Nashukuru mungu lilikuwa funzo kwangu na baada ya ku recover tangu hapo nilipata kumjua mwanamke ni kiumbe wa namna gani na ni jinsi gani natakiwa niishi nae, sahivi ni bata tu kilio nimekihamishia kwao! Got non to lose but they virginity
Sent using Jamii Forums mobile app