Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

na navyowajua waumin wa kakobe walivyo na utii Ukawa kura 10000 za uhakika tayari bado kwa Gwajima na mengineyo
 
Hivi si ni hawa maaskofu na makasisi waliotuambia kikwete ni chaguo la mungu? Au sio wao jamani? Mimi nashindwa kuwaelewa hawa wachungaji wetu!! Yaani mchungaji wa mungu anawashauri waumini tena ndani ya kanisa wampigie kura hata mzinzi ili mradi awe mchapakazi!!!!

Yaani kanisa limekosa mchapakazi ktk nchi yetu hii yenye watu milioni 40 ila linamuona mtuy mmoja tu ambae ni mzinzi ndio aje atuongoze!!! Kama viongozi wa dini wamefikia hatua hiyo ya kudharau maadili na kuamua kutuchagulia wazinzi ndio wawe marais wetu basi wa tz tutegemee serikali itakayo kuwa na viongozi wazinzi waliokufa kimaadili na matokeo yake ni kupata wabunge wazinzi na mwisho watapitisha sheria zote chafu zilizo kinyume na maadili yetu ya kiafrika na hata zilizo kinyume na maumbile ya kibinadamu!!!

Huyu kakobe amevuka mpaka na naishauri serikali yetu imfanyia uchunguzi wa haraka ili kubaini kama anahusika na kuwaharibu watoto wadogo ktk kanisa lake au kama ana uhusiano na mtandao wa wachungaji waliopatikana na kashfa za uzinzi huko marekani, na ulaya maana yeye mwenyewe amethibitisha kuwa wazinzi hawana makosa yoyote hata wanaweza kuwa viongozi wetu!!!

Hii ni kauli ya hatari sana tena ikitoka ktk mdomo wa mchungaji wa kondoo ndio kabisa!!! Ushauri wangu tena wa kutoka moyoni kwa waumini wa kakobe na wakiristo wote mpuuzeni huyu askofu maana amekufa kimaadili na sijui huko kanisani huwa anahubiri nini? Kakobe anataka kutugawa wa tz na kuleta chuki za kidini na kama wa kiristo wamefikia mpaka wana hamasishana ndani ya makanisa nani wampe kura zao basi wa tz kuna hatari inakuja huko mbele maana waislamu nao wakianza kuhamasishana ndani ya misikiti yao, basi huwenda vurugu za kidini zisiepukike ole wetu!!!!

Wana jf lazima mutumie bongo zenu na muache kauli za kishabiki na za kiitikadi badala ya kuweka maslahi ya nchi yetu mbele nyinyi ndio mmekuwa mstari wa mbele kuwaunga mkono akina kakobe na pengo badala ya kuwaepuka maana hawa viongozi wanataka kuleta fitina ktk nchi yetu, wao ni wachungaji tu wa kondoo na sio wanasiasa!! Kazi za siasa waachiwe vyama vilivyosajiliwa kisheria. Kama akina kakobe wanahamu na siasa si watoke ndani ya makanisa ili waanzishe vyama vyao au wajiunge na chama wakitakacho? Nani kawazuia?

Mwaka 1993 lyatonga mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alimuonya shehe maarufu wa msikiti wa mtoro marehemu shekh kassim bin jumaa asihubiri siasa msikitini na kama hataacha yeye mrema atakuja msikitini na kumvua joho lake na kumpiga magumi!!! Na kweli mrema alimpiga huyu shehe magumi(alimsweka jela na kumdhalilisha kimwili na kiakili mpaka shekh kassim alipoachiwa huru hakuwa tena mzima na hakuchukuwa muda akafariki)

sasa naishauri serikali yetu isifanye kama alivyofanya mrema bali hatua za haraka zichukuliwe kumdhibiti huyu mchungaji kwani akiachiliwa aendelee hivi mimi naamini atachochea na kusababisha machafuko ktk nchi yetu!!![/QUOTE

Du! Pumba hizi, heri ungelisha kuku wako kuliko kuziweka hapa.

Hongera Kakobe, hii ndio elimu sahihi ya uraia. Unayepinga umejenga hoja dhaifu mno na za uongo, yaani bora ungenyamaza.
 
Back
Top Bottom