Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini?

hapo atapandisha kwa hiyo mikono kila saa. na kama anapika chips ndio mkono mmoja unapandisha na mwingine unapakua. yaani huwa wanatia kinyaa basi tuu. chupi, boxaa nje hadharani hawa kaka zetu hawaoni aibu.na kama katoka chooni katawaza na maji unaona kabisa hizo nguo za ndani zilivyolowa. ukiwauliza wanakuambia eti unaonekana mjanja. fasheni ya wafungwa wa marekani imekuwa fasheni ya vijana wetu. wamekengeuka yabidi tuwavumilie labda wakikua wataacha.
 
Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini kama siyo kujidhalilisha?

View attachment 47657
Muwe macho kwani mnakoelekea siyo kuzuri

Bangi + utoto + ujinga + n.k ndio vinavyosababisha KIJANA kusahau kiuno chake na kuvaa namna hii. Ni sawa kama mabinti zetu ambapo Ujinga + bangi + umalaya unawasababishia MABINTI zetu kushindana kuvaa nusu uchi.
 
Back
Top Bottom