Duuuu! Huo si mlegezo ni uchi!
Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini kama siyo kujidhalilisha?
View attachment 47657
Muwe macho kwani mnakoelekea siyo kuzuri
swaga tu
Kha mbona huyu kavaa vizuri, unakutana na konda kavaa mlego hafu ndani hajavaa kitu na mbaya zaidi ****** anayaacha ndani yeye anainama hafu kichwa katoa nje kwenye hiace ndo balaa.Duuuu! Huo si mlegezo ni uchi!
Kha mbona huyu kavaa vizuri, unakutana na konda kavaa mlego hafu ndani hajavaa kitu na mbaya zaidi ****** anayaacha ndani yeye anainama hafu kichwa katoa nje kwenye hiace ndo balaa.
....na chupi chafuDuuuu! Huo si mlegezo ni uchi!
Ukikutana na konda kama huyo unamgusa hapohapo alipopaacha wazi akikuangalia unamwambia niache kituo flani
It's either mabwabwa, au wamevimbiwa wanapisha mashuzi
yap! hizi ndiyo swaga za chama twawalaswaga tu