Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 8,962
- 25,343
Ni ngumu sana kumuelewa Pascal Mayala, uandishi wake naufananisha na mfumo wa panya anapoiba chakula, hung'ata na kupuliza.
Wengi wetu huandika kile kinachoakisi hisia zetu na hivyo kuonyesha upande tunaosimamia, lakini si yeye.
Si ajabu Pascal huyu huyu tunayemshutumu kumpigia tarumbeta mkuu kumuuliza huyo huyo mkuu maswali tatanishi yanayoweza kumvua nguo na kumsababishia kuchutama pale atakapopewa nafasi.