Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,971
- 12,291
Hivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Novemba 6, 2022 Mkoani Kagera.
KAGERA: WAVUVI WALIOSAIDIA UOKOZI KUPEWA MAFUNZO MAALUM
Wavuvi ambao wapo jirani na Uwanja wa Ndege wa Mkoani Kagera wanatarajiwa kupewa mafunzo maalum ya uokozi kutokana na kutoa msaada wa uokozi katika ajali ya ndege hiyo kutua ziwani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema “Naagiza Katibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia kitengo ambacho kinaratibu wajasiriamali kuwapa mafundisho na kuona namna wanaweza kuwasaidia na kuweka vizuri ushirika wao.”