Kagera: Ratiba ya kuaga miili ya waliofariki ajali ya ndege ya Precision Air, Waziri Mkuu anazungumza, leo 07-11-2022

hamna aliewahi kufika huko kuzimu hayo mambo yakutishana tu mara moto mkali mara kuna shimo refu huwezi kutoka.
U KIPOFU unaamini UNAONA.

Mungu alieumba mbingu na Nchi amesema IPO KUZIMU.

Kuzimu pia ni wide term, ni Mahali zinakotunzwa Roho za wafu, ktk Ulimwengu wa ROHO.

Kuzimu yaeza kuwa, Kaburini, chini ya mti wa mbuyu, ardhini, chini ya kitanda, njia panda, ndani ya shimo la choo, jalalani nk.

Wafanyabiasha wengi hushuka Kuzimu na kurudi duniani Kila mara kupata utajiri Kutoka Kwa shetani wakibadilishana na Roho na Damu za watu.

Kama hujui jua, kama unajua na unapinga wewe ni mchawi!!
 
So sad,mungu mwenye huruma awape pumziko la amani,poleni sana wafiwa ndugu jamaa na marafiki mungu awape wepesi katika wakati huu mgumu wa maombolezo ya wapendwa wetu
 
Kum
Hivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Novemba 6, 2022 Mkoani Kagera....
be ukifa na ajali ya ndege unasindikizwa kwa heshima? Mara ngapi tunasikia ajali za mabasi, sikuwahi kusikia waliofariki wakisindikizwa kitaifa.
 
Back
Top Bottom