Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 315
- 523
Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025.
Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda ni Baba wa Siasa za Bongo.
Kapokelewa kwa Kishindo. Wati wengi. Alipendeza na kujiamini.
Mungu azidi kumbariki.
Alitua na ndege kisha kuelekea Makao Makuu wa CCM Mkoa wa Kagera na Sasa anajiandaa kuhutubia Mkutano Mkubwa uwanja wa Mayunga Bukoba Mjini kuanzia saa 10 jioni ya leo
Namtakia kila la heri katika kazi yake ya Siasa.